jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu alitanabaisha mapema kuwa wataalamu wa afya wahakikishe kuwa muswada wa bima ya afya kwa wote unaenda bungeni haraka.
Nichukur fursa hii kama mwanamtandao wa kijamii kuwashawishi tena Wizara ya Afya chini ya mama Gwajima kiharakisha utekelezaji wa zoezi hili.
Ni muda muafaka sasa wa muswada huu kufika Bungeni.
Kamwe tusiogope kuleta muswada huu bungeni kwani afya ni jambo la lazima kwa jamii yetu.
Financing ya afya ni jambo la msingi katika ukuaji wa sekta ya afya.hadi sasa Tanzania bado imeweka swala la afya kwa hisani ya wahisani..hili sio sawa.
Leteni muswada huu bungeni ili lijadiliwe na kujikomboa.
Hayo ni yangu kwa leo.
Tutekeleze Ilani ya CCM na ya Chadema pia
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!