Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Pole babu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuhuisha taarifa! Maana ya matumizi ya mifumo ya kielekroniki ni ipi?Asante kwa maoni yako. Uhakiki wa wanachama ni suala la msingi na hufanyika mara kwa mara katika Mifuko ya Hifadhi ya Jamii. NHIF inaendelea na uhakiki wa wanachama wake na ili taarifa ifike kwa walengwa ujumbe maalum wa wito unatumwa kwa mhusika. Dhumuni ni kuhuisha taarifa za uanachama na endapo kuna changamoto yoyote mwanachama asisite kuwasiliana na Mfuko kupitia namba ya bure ya huduma kwa wateja 199.
Fainali uzeeni.KWA HALI HII, UZEE SI DHAHABU BALI NI ADHABU.
Utaratibu wote unafuatwa, kuanzia police loss report, kujaza fomu ya NHIF ya kupoteza kadi, kupata mihuri ya mwajiri, kitambulisho cha Mchangiaji/Mkatwaji cha NIDA unawapa ila sasa Mtegemezi wanaanza kumletea mizengwe wakati ana dharura za kiafya.Ukipoteza kadi kuna utaratibu wake mfano unapopoteza kadi ya banki mbona hauji hapa kulalamika ebu tuacheni njia za mkato tufuateni utaratibu uliowekwa, NHIF ni taasisi kama ilivyo nyingine
Ahsante kwa maoni yako. Uhakiki wa wanachama wa mfuko kabla ya kupata huduma za matibabu ni jukumu la kila siku la mfuko lenye lengo la kuhakikisha wanufaika wanaostahili wanapata huduma kwa mujibu wa Sheria. Ujumbe mfupi wa kuhakiki taarifa unaotumwa kupitia simu za mkononi kwa baadhi ya wanachama ikiwemo wastaafu ni sehemu ya utaratibu wa kila siku wa kuwa na taarifa sahihi ili kuwaondolea usumbufu kabla hawajafika katika vituo vya kutolea huduma za matibabu. Kwa wanachama au wastaafu ambao hawawezi kufika kuhakiki taarifa zao kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ugonjwa, Mfuko kupitia waratibu wa NHIF katika kila halmashauri ya wilaya umeweka utaratibu wa kuwafikia na kusaidia kufanya uhakiki kwa urahisi . Aidha, uhakiki unaoendelea hauhusu kundi lote la wanachama wastaafu isipokuwa ni kwa wastaafu wachache ambao taarifa zao zimebainika kuwa na upungufu hivyo kama kuna mstaafu hajapokea ujumbe huo ajue taarifa zake zipo sawa. Vilevile, Mwanachama mwenye kuhitaji msaada anashauriwa kupiga simu ya bure ya kituo cha huduma kwa wateja no 199Mimi ni mstaafu mwandamizi niliyepo wilaya ya Ngara mkoa wa Kagera.
Nilipata tetesi za kuwapo kwa uhakiki wa wastaafu walio kwenye mfuko wa bima ya Afya tangu mwezi Machi mwaka huu. Kila aliyeniambia nilipomuuliza alikozipata taarifa, naye aliniambia ameambiwa na mwingine.
Hakukuwapo uthibitisho wa chanzo.
Nilihisi kuwa ni jumbe za kitapeli ambazo zinatumwa mara kwa mara. Jana, jamaa yangu akanitumia na kuniuliza iwapo nimepata ujumbe huu:
"NHIF 17.03.2023 SAA 03:11PM NDG. MWANACHAMA MSTAAFU,TAFADHALI FIKA NA MWENZAWAKO KTK. OFISI YA MFUKO ILIYO KARIBU KWA AJILI YA ZOEZI LA UHAKIKI KABLA YA 30.04.2023. AIDHA, FIKA NA NA. YAKO YA NIDA NA NA. MWENZA WAKO. KWA UFAFANUZI _ PIGANA. 199 BILA MALIPO. SENDER HENRY".
Naye alitumiwa na mstaafu mwenzetu. Sikuamini kuwa huo ni ujumbe halali. Mtindo/namna ya uandishi haikuniongoza kuamini kuwa umetumwa na taasisi hii kubwa. Kuna makosa mengi ya kiuandishi na hata ya kimantiki. Hilo tuliache.
Niliingia kwenye tovuti yao. Sikuona tangazo hilo. Niliwasiliana nao kupitia simu hiyo 199. Nilipata ushirikiano mkubwa kwa aliyenipokea. Niliambiwa yafuatayo:
1. Ni kweli uhakiki upo. Unahusisha wastaafu na walioko kazini. Wanataka mstaafu aende na mweza wake.
2. Kila mhusika alishaarifiwa kupitia simu yake na kila mmoja ana tarehe yake. Mimi na wastaafu sita niliowauliza hatuna ujumbe huu.
3. Uhakiki unafanyika makao makuu ya mkoa.
4. Mwisho wa uhakiki ni Mei 30.
Inaelekea bima ya afya hawafahamu kuwa Wastaafu (wateja wao):
i) Ni wazee
ii) Wengi ni wagonjwa
iii) Wengi wana pato duni mno ambalo huenda halitoshi hata gharama ya kwenda mkoani.
iv) Baadhi ni walemavu
v) Kuna ambao hawawezi kusoma jumbe hizo
Yaani wao kwenye simu zao wanafahamu kubonyeza kitufe kimoja tu. Cha kupokelea simu.
Hawa hawawezi kuweka vocha, kukata simu baada ya maongezi, kuongeza salio, kuunga kifurushi nk.
Sembuse kusoma au kuandika ujumbe!
Ushauri:
1. Uhakiki ufanywe jirani na wahusika. Ikiwezekana kwenye Kata. Kuwalazimisha kwenda mkoani kuachwe. Haya ni mateso. Mateso makubwa mno.
Mstaafu aliyepo kijiji cha Muganza wilayani Ngara, mkoa wa Kagera, uhakiki huu utamgharimu siku 5 (kwenda Bukoba na Kurudi). Baadhi ya wastaafu wanahitaji kusindikizwa/kupata wasaidizi. Mbali ya adha za safari, fikiria muda na gharama za safari. Mkifika kwenye kata zao ni vema zaidi.
2. Zoezi hili lifanyike kwa uwazi na kwa haki. Tangazeni kwenye vyombo vya habari. Wekeni kwenye tovuti yenu.
Wasilianeni vema na wateja/wadau wenu. Uduni wa taarifa hizi na hata uandishi wa sms ya wito tunautofautishaje na sms nyingine za kitapeli tunazotumiwa mara kwa mara.
3. Fungueni ofisi wilayani au muweke dawati lenu ama kwa Mkuu wa wilaya au Halmashauri. Mnataka wazee hawa wafe kwa ajali barabarani kwa safari? Mara uhakiki wa PSSSF mkoani na sasa uhakiki huu nao mkoani.
Magonjwa mengine yanatokana adha hizi.
Wazee mnaowasumbua na kuwatesa leo walitumikia nchi hii kwa bidii na uaminifu mkubwa. Msiwalipe mateso kwa kuwajaza majuto na kihoro.
KWA HALI HII, UZEE SI DHAHABU BALI NI ADHABU.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Ahsante kwa maoni yako. Uhakiki wa wanachama wa mfuko kabla ya kupata huduma za matibabu ni jukumu la kila siku la mfuko lenye lengo la kuhakikisha wanufaika wanaostahili wanapata huduma kwa mujibu wa Sheria. Ujumbe mfupi wa kuhakiki taarifa unaotumwa kupitia simu za mkononi kwa baadhi ya wanachama ikiwemo wastaafu ni sehemu ya utaratibu wa kila siku wa kuwa na taarifa sahihi ili kuwaondolea usumbufu kabla hawajafika katika vituo vya kutolea huduma za matibabu. Kwa wanachama au wastaafu ambao hawawezi kufika kuhakiki taarifa zao kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ugonjwa, Mfuko kupitia waratibu wa NHIF katika kila halmashauri ya wilaya umeweka utaratibu wa kuwafikia na kusaidia kufanya uhakiki kwa urahisi . Aidha, uhakiki unaoendelea hauhusu kundi lote la wanachama wastaafu isipokuwa ni kwa wastaafu wachache ambao taarifa zao zimebainika kuwa na upungufu hivyo kama kuna mstaafu hajapokea ujumbe huo ajue taarifa zake zipo sawa. Vilevile, Mwanachama mwenye kuhitaji msaada anashauriwa kupiga simu ya bure ya kituo cha huduma kwa wateja no 199
Wizi ni mwingi tu kupitia mtandao wa kielektoniki. Mfano mgonjwa ametibiwa kituo fulani na hajasaini ktk tablet na wala akiweka saini hasomi gharama za matibabu. Pia cha ajabu hata usipOweka saini kwa kusahau kwenda kuchukua kadi ukiifuata kadi na kutaka kuwrka saini unaambiwa mtandao ulishafuta. NASHANGAA KUTIBIWA BURE MAANA WANAOSAHAU KADI NI WENGI BAADA YA KUCHOKA NA MIZUNGUKO YA HISPITALINI. NASHAURI ZIRUDISHENJ ZILE FOMU ZA KAWAIDA ZA KARATASIHawawezi kufanya hayo kwa sababu hizo akili hawana wala huo ubunifu hawana.
Huku ni genge la ndugu wa VIONGOZI na watoto wao kupiga pesa.
Ubunifu wao ni kwenye kuiba pesa tuu na kulipana posho.
Pole sana mstaafu, hawana nia njema nawe.
Ujumbe unaotumwa na NHIF kwa mwanachama mhusika anayehitajika kuhuisha taarifa zake umejitosheleza na unaeleweka kama ifuatavyoMimi ni mstaafu mwandamizi niliyepo wilaya ya Ngara mkoa wa Kagera.
Nilipata tetesi za kuwapo kwa uhakiki wa wastaafu walio kwenye mfuko wa bima ya Afya tangu mwezi Machi mwaka huu. Kila aliyeniambia nilipomuuliza alikozipata taarifa, naye aliniambia ameambiwa na mwingine.
Hakukuwapo uthibitisho wa chanzo.
Nilihisi kuwa ni jumbe za kitapeli ambazo zinatumwa mara kwa mara. Jana, jamaa yangu akanitumia na kuniuliza iwapo nimepata ujumbe huu:
"NHIF 17.03.2023 SAA 03:11PM NDG. MWANACHAMA MSTAAFU,TAFADHALI FIKA NA MWENZAWAKO KTK. OFISI YA MFUKO ILIYO KARIBU KWA AJILI YA ZOEZI LA UHAKIKI KABLA YA 30.04.2023. AIDHA, FIKA NA NA. YAKO YA NIDA NA NA. MWENZA WAKO. KWA UFAFANUZI _ PIGANA. 199 BILA MALIPO. SENDER HENRY".
Naye alitumiwa na mstaafu mwenzetu. Sikuamini kuwa huo ni ujumbe halali. Mtindo/namna ya uandishi haikuniongoza kuamini kuwa umetumwa na taasisi hii kubwa. Kuna makosa mengi ya kiuandishi na hata ya kimantiki. Hilo tuliache.
Niliingia kwenye tovuti yao. Sikuona tangazo hilo. Niliwasiliana nao kupitia simu hiyo 199. Nilipata ushirikiano mkubwa kwa aliyenipokea. Niliambiwa yafuatayo:
1. Ni kweli uhakiki upo. Unahusisha wastaafu na walioko kazini. Wanataka mstaafu aende na mweza wake.
2. Kila mhusika alishaarifiwa kupitia simu yake na kila mmoja ana tarehe yake. Mimi na wastaafu sita niliowauliza hatuna ujumbe huu.
3. Uhakiki unafanyika makao makuu ya mkoa.
4. Mwisho wa uhakiki ni Mei 30.
Inaelekea bima ya afya hawafahamu kuwa Wastaafu (wateja wao):
i) Ni wazee
ii) Wengi ni wagonjwa
iii) Wengi wana pato duni mno ambalo huenda halitoshi hata gharama ya kwenda mkoani.
iv) Baadhi ni walemavu
v) Kuna ambao hawawezi kusoma jumbe hizo
Yaani wao kwenye simu zao wanafahamu kubonyeza kitufe kimoja tu. Cha kupokelea simu.
Hawa hawawezi kuweka vocha, kukata simu baada ya maongezi, kuongeza salio, kuunga kifurushi nk.
Sembuse kusoma au kuandika ujumbe!
Ushauri:
1. Uhakiki ufanywe jirani na wahusika. Ikiwezekana kwenye Kata. Kuwalazimisha kwenda mkoani kuachwe. Haya ni mateso. Mateso makubwa mno.
Mstaafu aliyepo kijiji cha Muganza wilayani Ngara, mkoa wa Kagera, uhakiki huu utamgharimu siku 5 (kwenda Bukoba na Kurudi). Baadhi ya wastaafu wanahitaji kusindikizwa/kupata wasaidizi. Mbali ya adha za safari, fikiria muda na gharama za safari. Mkifika kwenye kata zao ni vema zaidi.
2. Zoezi hili lifanyike kwa uwazi na kwa haki. Tangazeni kwenye vyombo vya habari. Wekeni kwenye tovuti yenu.
Wasilianeni vema na wateja/wadau wenu. Uduni wa taarifa hizi na hata uandishi wa sms ya wito tunautofautishaje na sms nyingine za kitapeli tunazotumiwa mara kwa mara.
3. Fungueni ofisi wilayani au muweke dawati lenu ama kwa Mkuu wa wilaya au Halmashauri. Mnataka wazee hawa wafe kwa ajali barabarani kwa safari? Mara uhakiki wa PSSSF mkoani na sasa uhakiki huu nao mkoani.
Magonjwa mengine yanatokana adha hizi.
Wazee mnaowasumbua na kuwatesa leo walitumikia nchi hii kwa bidii na uaminifu mkubwa. Msiwalipe mateso kwa kuwajaza majuto na kihoro.
KWA HALI HII, UZEE SI DHAHABU BALI NI ADHABU.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Uhakiki ni jambo la kawaida, wanataka kumuona anayetumia kitambulisho ni yeye na mwenzi wake, NSSF na mashirika mengine nayo huhakiki pia.Mimi ni mstaafu mwandamizi niliyepo wilaya ya Ngara mkoa wa Kagera.

Hakuna hoja ya kupinga uhakiki.Uhakiki ni jambo la kawaida, wanataka kumuona anayetumia kitambulisho ni yeye na mwenzi wake, NSSF na mashirika mengine nayo huhakiki pia.
Asante sana kwa maelezo yako mazuri mno.Ahsante kwa maoni yako. Uhakiki wa wanachama wa mfuko kabla ya kupata huduma za matibabu ni jukumu la kila siku la mfuko lenye lengo la kuhakikisha wanufaika wanaostahili wanapata huduma kwa mujibu wa Sheria. Ujumbe mfupi wa kuhakiki taarifa unaotumwa kupitia simu za mkononi kwa baadhi ya wanachama ikiwemo wastaafu ni sehemu ya utaratibu wa kila siku wa kuwa na taarifa sahihi ili kuwaondolea usumbufu kabla hawajafika katika vituo vya kutolea huduma za matibabu. Kwa wanachama au wastaafu ambao hawawezi kufika kuhakiki taarifa zao kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ugonjwa, Mfuko kupitia waratibu wa NHIF katika kila halmashauri ya wilaya umeweka utaratibu wa kuwafikia na kusaidia kufanya uhakiki kwa urahisi . Aidha, uhakiki unaoendelea hauhusu kundi lote la wanachama wastaafu isipokuwa ni kwa wastaafu wachache ambao taarifa zao zimebainika kuwa na upungufu hivyo kama kuna mstaafu hajapokea ujumbe huo ajue taarifa zake zipo sawa. Vilevile, Mwanachama mwenye kuhitaji msaada anashauriwa kupiga simu ya bure ya kituo cha huduma kwa wateja no 199
Asante kwa jibu na maelezo mazuri sana.Ujumbe unaotumwa na NHIF kwa mwanachama mhusika anayehitajika kuhuisha taarifa zake umejitosheleza na unaeleweka kama ifuatavyo
........Ndugu mwanachama mstaafu, tafadhali fika na mwenza wako katika Ofisi ya Mfuko iliyo karibu kwa ajili ya zoezi la uhakiki kabla ya tarehe 30/4/2023. Aidha, fika na namba yako ya NIDA na ya mwenza wako. Kwa ufafanuzi zaidi piga namba 199 bila malipo.
Ujumbe wa tofauti unaosambazwa ni wa upotoshaji na usizingatiwe.
Kwanza pole lakini pili nilikua naomba kuuliza...Mimi ni mstaafu mwandamizi niliyepo wilaya ya Ngara mkoa wa Kagera.
Nilipata tetesi za kuwapo kwa uhakiki wa wastaafu walio kwenye mfuko wa bima ya Afya tangu mwezi Machi mwaka huu. Kila aliyeniambia nilipomuuliza alikozipata taarifa, naye aliniambia ameambiwa na mwingine.
Hakukuwapo uthibitisho wa chanzo.
Nilihisi kuwa ni jumbe za kitapeli ambazo zinatumwa mara kwa mara. Jana, jamaa yangu akanitumia na kuniuliza iwapo nimepata ujumbe huu:
"NHIF 17.03.2023 SAA 03:11PM NDG. MWANACHAMA MSTAAFU,TAFADHALI FIKA NA MWENZAWAKO KTK. OFISI YA MFUKO ILIYO KARIBU KWA AJILI YA ZOEZI LA UHAKIKI KABLA YA 30.04.2023. AIDHA, FIKA NA NA. YAKO YA NIDA NA NA. MWENZA WAKO. KWA UFAFANUZI _ PIGANA. 199 BILA MALIPO. SENDER HENRY".
Naye alitumiwa na mstaafu mwenzetu. Sikuamini kuwa huo ni ujumbe halali. Mtindo/namna ya uandishi haikuniongoza kuamini kuwa umetumwa na taasisi hii kubwa. Kuna makosa mengi ya kiuandishi na hata ya kimantiki. Hilo tuliache.
Niliingia kwenye tovuti yao. Sikuona tangazo hilo. Niliwasiliana nao kupitia simu hiyo 199. Nilipata ushirikiano mkubwa kwa aliyenipokea. Niliambiwa yafuatayo:
1. Ni kweli uhakiki upo. Unahusisha wastaafu na walioko kazini. Wanataka mstaafu aende na mweza wake.
2. Kila mhusika alishaarifiwa kupitia simu yake na kila mmoja ana tarehe yake. Mimi na wastaafu sita niliowauliza hatuna ujumbe huu.
3. Uhakiki unafanyika makao makuu ya mkoa.
4. Mwisho wa uhakiki ni Mei 30.
Inaelekea bima ya afya hawafahamu kuwa Wastaafu (wateja wao):
i) Ni wazee
ii) Wengi ni wagonjwa
iii) Wengi wana pato duni mno ambalo huenda halitoshi hata gharama ya kwenda mkoani.
iv) Baadhi ni walemavu
v) Kuna ambao hawawezi kusoma jumbe hizo
Yaani wao kwenye simu zao wanafahamu kubonyeza kitufe kimoja tu. Cha kupokelea simu.
Hawa hawawezi kuweka vocha, kukata simu baada ya maongezi, kuongeza salio, kuunga kifurushi nk.
Sembuse kusoma au kuandika ujumbe!
Ushauri:
1. Uhakiki ufanywe jirani na wahusika. Ikiwezekana kwenye Kata. Kuwalazimisha kwenda mkoani kuachwe. Haya ni mateso. Mateso makubwa mno.
Mstaafu aliyepo kijiji cha Muganza wilayani Ngara, mkoa wa Kagera, uhakiki huu utamgharimu siku 5 (kwenda Bukoba na Kurudi). Baadhi ya wastaafu wanahitaji kusindikizwa/kupata wasaidizi. Mbali ya adha za safari, fikiria muda na gharama za safari. Mkifika kwenye kata zao ni vema zaidi.
2. Zoezi hili lifanyike kwa uwazi na kwa haki. Tangazeni kwenye vyombo vya habari. Wekeni kwenye tovuti yenu.
Wasilianeni vema na wateja/wadau wenu. Uduni wa taarifa hizi na hata uandishi wa sms ya wito tunautofautishaje na sms nyingine za kitapeli tunazotumiwa mara kwa mara.
3. Fungueni ofisi wilayani au muweke dawati lenu ama kwa Mkuu wa wilaya au Halmashauri. Mnataka wazee hawa wafe kwa ajali barabarani kwa safari? Mara uhakiki wa PSSSF mkoani na sasa uhakiki huu nao mkoani.
Magonjwa mengine yanatokana adha hizi.
Wazee mnaowasumbua na kuwatesa leo walitumikia nchi hii kwa bidii na uaminifu mkubwa. Msiwalipe mateso kwa kuwajaza majuto na kihoro.
KWA HALI HII, UZEE SI DHAHABU BALI NI ADHABU.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Asante sana.Kwanza pole lakini pili nilikua naomba kuuliza...
Je ukistaafu unapewa ela yako yote au unapewa kidogo?
Kama kidogokidogo je ni asilimia ngapi unapewa unapo staafu?
Tatizo la bima ya afya kunabaadhi ya watu wanawapa ndugu zao wavitumie. Kuna ndugu wanaofanana huwa wanatumia kadi moja.Hakuna hoja ya kupinga uhakiki.
Hoja ni mazingira, namna ya kuhakiki na hali ya unayemhakiki.
Sasa hivi kuna zoezi la uhakiki wa vyeti vya udereva. Fuatilia uone linavyoendeshwa kwa raha.
Halifanyiki mkoani.
Taarifa zinatolewa kwa namna nyingi.
Hata tusiohusika tuna taarifa ya huu uhakiki wa leseni.
Uhakiki ni siri?
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Nawashukuru sana Bima ya Afya kwa uamuzi huu.‘TAARIFA KWA WASTAFU WOTE WA NGARA’
Mbunge wa Jimbo la Ngara Mh Ndaisaba George Ruhoro alipokea malalamiko ya wazee wasitafu ambao Taasisi ya BIMA YA AFYA NCHINI NHIF iliwataka kwenda Bukoba wakiambatana na wenza wao ili kuhakikiwa taarifa zao kabla ya 30.04.2023.
Kama ilovyo ada, Kazi ya Mbunge ni pamoja na utetezi. Mbunge wetu amefanikiwa kutetea kundi hili muhimu sana na sasa baadala ya uhakiki kufanyikia Bukoba sasa utafanyikia Wilayani Ngara kwenye Hospital ya Nyamiaga kuanzia saa tatu asubuhi tarehe 28.04.2023.
Naomba tusambaze taarifa hii kwa wazee wetu popote pale walipo.
Kwa taarifa zaidi, wastafu wanaweza kuwasiliana na Meneja wa NHIF wa Mkoa wa Kagera kupitia simu namba 0754394420.
Wenu katika ujenzi wa jamii yenye ustawi na maendeleo.
Yekonia Baliyendeza
KATIBU WA MBUNGE
JIMBO LA NGARA.