Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Leo nimeenda kutibiwa Selian hospital Arusha, kilicho nishangaza ni kwamba kwanza ni kama NHIF hawana dawa za kutosha pale, nimeambiwa Paracetamol na Bluefen kati ya dawa za maumivu et nikanunue duka la dawa nje ya hospitali.
Sasa najiuliza Bima haina dawa hizo 2 za maumivu je zimeisha ghafla au kuna nini. Kusema ukweli, kwa kiasi kikubwa Selian hospital imeshapoteza wateja wengi, sio ile tuliyokuwa tukienda unakuya foleni kubwa. Inasikitisha sana.