Bima ya Afya NHIF ni Janga kwa wanachama wake

Be the best on your own why do you want to compete with others. F**k up
 
Mkuu ni kweli hii kitu au ni editing?

Kama ni kweli mbona itakua ni hatar sana
 
Achana na mambo ya kujilinganisha kwenye maendeleo.Hao ni hao na sisi ni sisi
 
Ni bora huo mfuko ufe tutunze pesa zetu za matibabu wenyewe kuliko kuwaachia wezi wazisimamie.

Tutakaa na mabenki tuziweke hata kwenye Fixed Account,tunaweka makubaliano nikiumwa au mtemezi wangu akiumwa ni namna gani atatibiwa
Hujui unachoongea
 
Bado hatuko pabaya. Kauli inaweza kuwa inatolewa na anaye lipwa marupurupu kwenye makato ya watanzania. Kwahiyo unataka tufike pabaya?
 
Mimi sio mtaalam wa afya lakini nimejaribu kuangalia madawa yaliyofutwa sielewi,
sasa najaribu kufikiri,labda ni madawa ya gharama ndogo ambayo watoa huduma walikuwa wanaiuzia serikali
kwa pesa kubwa wakati katika uhalisia sio bei yake.

Kwa mtu ambaye aliwahi kulazwa akahudumiwa na bima pamoja na mapungufu yake,
Na mwingine akalazwa pasipo bima kabisa,kusema ukweli pasipo bima mzigo ni mkubwa
haswa kwa mambo makubwa kama ukifanyiwa upasuaji n.k

Pamoja na mapungufu mengi ya serikali,tukumbuke watoa huduma wengi ni watanzania wenzettu
upigaji ni mwingi kwa kisingizio cha bima ya serikali,
Mimi natumia NHIF na bima binafsi,ninachokiona wenye bima binafsi usimamizi wao ni mkali sana
hivyo hawapati hasara kama serikali(cha wote).
 
Kwenye vitita vya bima hasa NHIF bei wanapanga wao na si watoa huduma au mnufaika kama wewe na mimi, sijui kwa nini umeshindwa hata kuuliza/kufuatilia kinachoendelea nchini kuwa NHIF wamefuta huduma na kushusha bei za hduma beyond uwezo wa watoa huduma kujiendesha na mtoa huduma kutakiwa kupokea bima(NHIF) regardless ya hayo.
Ndiyo maana ulitokea mgomo, sikutegemea aje great thinker na fikra kama hizo wakati mambo yametokea na hadi yanaelekea kupoa au unaishi wapi?

Watanzania tujifunze kudig deep mambo yetu la sivyo vitu vitatokea mbele ya macho yetu na tusivione, na ndiyo maana wanasiasa wanatupeleka watakavyo hatuna tabia ya kuchimba hata madogo tu yanayotuhusu.
 
Sasa kama hata sindano na pamba hazipo kwenye kitita ni huduma zipi zimebaki? Alafu wanakuja na ngonjera ya kila mtanzania awe mwanachama wa NHIF? Hii ni kadi ya huduma ya afya au kadi ya huduma ya kwanza. Hata gloves za mpira hazipo ahaaaa Ummy hebu tuwe siriasi kidogo na maisha ya wadanganyika.
 
Achana na mambo ya kujilinganisha kwenye maendeleo.Hao ni hao na sisi ni sisi
There is no one man's competition or race dude.......the word light loses meaning if there is no word darkness, sijiu umeelewa hiyo logic.
 
Ila sasa hivi kwenye upande wa huduma za afya na madawa kuna shida mahali......

Ova
 
Bora ungetembelea visiwa vya Goziba na wenzie uambukizwe UKIMWI utapike hizo nyaaa kwa fuvu!!
 
Wakuu kama taifa kila mmoja anaweza kuona makosa, lakini wengi hatujui suluhu ni ipi.

As a thinker nina suluhisho ktk endelevu ktk mazingira ya tz.

Suluhisho hili ni la kudumu endapo litapata wachangiaji walau 1,500,000 kati ya watz 60mil.



Thread 'Bima ya Afya Vikoba' SoC04 - Bima ya Afya Vikoba

Kama unaunga na una ushauri ktk kuboresha shauri. Kama umependa na like zifike 150,000.

Pia naomba vote yote yako
 
Na kupandisha ada/malipo
 
Jeshini wanachangia 6% ya mishara na sasa ni kama mwaka na nusu kama sio miakamiwili na bima card (NHIF CARD ) hakuna, hii sio dhulma kweli? Mtu mnamkata mshahara zaidi ya mmwaka na miezi mitano na hanufaikina hiyo pesa yake kweli? Ipo siku wakiamua patachimbika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…