S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 49,390 Reaction score 152,301 Nov 15, 2014 #121 12STONE said: Huko ni kuandaa mazingira ya kupewa KURA YA NDIYO 2015, baada ya Uchaguzi,Utekelezaji wake ni Maumivu/Uchungu kwa Wananchi zaidi ya kumeza tembe za chloroquine. Click to expand... Kura ya ndio ni ndoto labda kura ya ndio kupitia tume ya taifa ya uchaguzi.
12STONE said: Huko ni kuandaa mazingira ya kupewa KURA YA NDIYO 2015, baada ya Uchaguzi,Utekelezaji wake ni Maumivu/Uchungu kwa Wananchi zaidi ya kumeza tembe za chloroquine. Click to expand... Kura ya ndio ni ndoto labda kura ya ndio kupitia tume ya taifa ya uchaguzi.
ethicx JF-Expert Member Joined Apr 4, 2012 Posts 311 Reaction score 126 Mar 3, 2015 #122 Nafurahi kuwa na bima ya afya kwa hii January pekee ni save zaidi ya laki 3 kwakua natumia nhif.