Bima ya Afya

Bima ya Afya

Serikali inajiandaa kufanya marekebisho ya sheria ya Bima ya afya nchini kwa lengo la kuhakikisha kila kaya nchini inakuwa mwanachama wa mfuko huo.

Kwa sasa serikali inapanga kupeleka marekebisho ya sheria hayo bungeni ili utekelezaji wake uanze.

CHANZO:ITV

MY TAKE:
Kama kodi ya majengo tu(property tax) imewashinda,hii ya Bima kwa kila kaya ndio wataiweza?

Hii ni ndoto y alinacaha kama ile ya MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA.

Kama TAIFA kubwa KIUCHUMI duniani (Marekani) haliwezi kutoa bima ya Afya kwa wananchi wake wote. Leo Tanzania A Highly Indebted Poor Country ndiyo iweze kutoa bima ya Afya kwa watu wake wote?!

Hili nalo ni changa la macho. Labda kama itatoa bima ya Afya kwa MAOMBEZI, lakini sio kwa principle za uchumi zinazofahamika duniani kote.
 
Bima ya afya kwa sala, kina kakobe, Mzee wa upako, Jo Davis, Gwajima, Dr Manyuki n' Co. Ltd mjiandae
 
This is the best health insurance for poor people, God has always been there for poor people to comfort and give them courage to go on, even when their poverty lead them to death, God promise to give them eternal life. What more do poor people need.

The problem is insurance brokers! and the orgnisation kakobe and Full gospel co. Antony Lusekelo of Mzee wa upako, Jo Davis, Gwajima, Dr Manyuki and many others. They charge high premium for insurance supposed to be free of charge.
 
Hii ni ndoto y alinacaha kama ile ya MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA.

Kama TAIFA kubwa KIUCHUMI duniani (Marekani) haliwezi kutoa bima ya Afya kwa wananchi wake wote. Leo Tanzania A Highly Indebted Poor Country ndiyo iweze kutoa bima ya Afya kwa watu wake wote?!

Hili nalo ni changa la macho. Labda kama itatoa bima ya Afya kwa MAOMBEZI, lakini sio kwa principle za uchumi zinazofahamika duniani kote.

JK anatafuta legacy kupitia matukio ili walau awe na cha kukumbukwa.
 
Wanataka wahujumu kama wanavyohujumu mifuko ya jamii. Mafao kiduchu pesa wanakopeshana na bila riba.
 
Serikali inajiandaa kufanya marekebisho ya sheria ya Bima ya afya nchini kwa lengo la kuhakikisha kila kaya nchini inakuwa mwanachama wa mfuko huo.

Kwa sasa serikali inapanga kupeleka marekebisho ya sheria hayo bungeni ili utekelezaji wake uanze.

CHANZO:ITV

MY TAKE:
Kama kodi ya majengo tu(property tax) imewashinda,hii ya Bima kwa kila kaya ndio wataiweza?

Hivi hizi shule huwa mnakwensda kusomea ujinga?

Toka lini bima ikawa kodi?
 
Hili ni wazo nililokuwa nalisubiri kwa muda mrefu sana lifanyiwe kazi na serikali yeyote iliyopo madarakani..kama wameliona hili ni jambo jema, lakini huu upuuzi wa kuita nyingine NHIF na nyingine CHF sidhani kama utatoa unafuu kwa mwananchi wa kawaida.... waanzie hapo.. gharama za matibabu zipo juu saana...
 
Serikali inajiandaa kufanya marekebisho ya sheria ya Bima ya afya nchini kwa lengo la kuhakikisha kila kaya nchini inakuwa mwanachama wa mfuko huo.

Kwa sasa serikali inapanga kupeleka marekebisho ya sheria hayo bungeni ili utekelezaji wake uanze.

CHANZO:ITV

MY TAKE:
Kama kodi ya majengo tu(property tax) imewashinda,hii ya Bima kwa kila kaya ndio wataiweza?
Achilia mbali ukusanyaji wa kodi
Tujiulize "Kwa ufanisi gani wa utoaji wa huduma kupitia bima mpaka watanzania wote wajumuishwe" wachache ambao hawafiki hata 40% ya watanzania lau wakipewa uhuru wa kuchagua ni wangapi wataendelea kuwa wanachama?
 
Serikali inajiandaa kufanya marekebisho ya sheria ya Bima ya afya nchini kwa lengo la kuhakikisha kila kaya nchini inakuwa mwanachama wa mfuko huo.

Kwa sasa serikali inapanga kupeleka marekebisho ya sheria hayo bungeni ili utekelezaji wake uanze.

CHANZO:ITV

MY TAKE:
Kama kodi ya majengo tu(property tax) imewashinda,hii ya Bima kwa kila kaya ndio wataiweza?

Mimi nakuwa mgumiu sana kuielewa hii serikali, yaani hufanya vitu vyake kama maigizo. Kama hadi sasa wameshindwa kutoa vitambulisho wa uraia sijui mwaka wa ngapi huu, je kusajili bima ya afya nchi nzima itachukau miaka mingapi?? Kwa maneno Ccm wanaweza. Utendaji ni kama kupanda miloma Kilimanjaro ukiwa peku.
 
Salary Slip kwani kama serikali haiwezi kutoa huduma bure za afya kwa wananchi wake? bima za nini tena? basi serikali isikusanye kodi ili tujikatie bima
 
Last edited by a moderator:
Bima gani inachagua aina ya matibabu? bima gani unaenda kutibiwa hospitali hazina dawa? Ina maana mkuu wa nchi hakuwa na bima ya afya? Kwa nini wasiboreshe huduma za afya ili kila anaeugua aweze kupata tiba stahiki kwa uwezo wake? kila siku watu wanaenda nje ya nchi, hizi bima ni bima gani, sasa hata matende watu wanaenda ITV kuomba wananchi wawachangie waende India, eti bima ni kuwa na kikadi kilichofanyiwa lamination, upuuzi huu.
 
Mimi nakuwa mgumiu sana kuielewa hii serikali, yaani hufanya vitu vyake kama maigizo. Kama hadi sasa wameshindwa kutoa vitambulisho wa uraia sijui mwaka wa ngapi huu, je kusajili bima ya afya nchi nzima itachukau miaka mingapi?? Kwa maneno Ccm wanaweza. Utendaji ni kama kupanda miloma Kilimanjaro ukiwa peku.

Hii nchi tumeikabidhi kwa wasanii.

Mipango mingi kuliko uwezo na mbaya zaidi hata ari ya utekelezaji haipo.
 
labda wameniweke ndani nikitoka ndio ntachangia japo kwa shingo upande,mtu unachangia pesa yako mwenyewe lakini ukienda hospitali kero tupu,usumbufu kibao,bora kulipia taslimu unapata huduma unasepa zako
 
Hivi hizi shule huwa mnakwensda kusomea ujinga?

Toka lini bima ikawa kodi?

Hivi unajuaga unachojibu au unakurupuka tu kama ushu.zi wa mbaazi?

Soma vizuri hakuwa na maana ya kodi, ila amejaribu kulinganisha hilo lilowashinda na mnalotaka kulivalia njuga.
 
Huko ni kuandaa mazingira ya kupewa KURA YA NDIYO 2015, baada ya Uchaguzi,Utekelezaji wake ni Maumivu/Uchungu kwa Wananchi zaidi ya kumeza tembe za chloroquine.
 
Back
Top Bottom