Bima ya Afya

Bima ya Afya

ukienda na bima ya afya hospitali asubuhi uanrudi home usiku na hapo hujamaliza vipimo....lkn ukienda na cash ni fasta yu umeondoka maeneo ya hospitali huku umemaliza kila kitu ndani ya muda
 
Nilipewa hako kakadi na ndg yangu aisee nimekatunza tu maana kalinitesa kweli
 
Ukiambiwa kununua pia unatakiwa ukanunue kwenye duka ambalo linapokea huduma ya bima siyo kulipa cash.

Hayo maduka yanayo towa dawa kwa bima ya afya nimachache sana.
 
Watu wengi tunatumia makampuni haya kwa kulipiwa na ofisi... hivyo sometimes wala hatujui hasa mtu unalipa kiasi gani na kama 'value for money' inazingatiwa....

Sasa ningependa kujua kati ya kampunio zoote zilizopo ipi ni better? ambayo ni cheap but ni nzuri zaidi?

Kwa mtu binafsi anaetaka kujilipia ...aende kampuni ipi?

Gharama zikoje?

Huduma zikoje?

Mfano mtu anatakiwa kutibiwa ugonjwa wenye vipimo ghali na operesheni kadhaa aende kampuni ipi?
 
Watu wengi tunatumia makampuni haya kwa kulipiwa na ofisi...
hivyo sometimes wala hatujui hasa mtu unalipa kiasi gani na kama 'value for money'
inazingatiwa....

sasa ningependa kujua kati ya kampunio zoote zilizopo
ipi ni better?
ambayo ni cheap but ni nzuri zaidi?
kwa mtu binafsi anaetaka kujilipia ...aende kampuni ipi?
gharama zikoje?
huduma zikoje?

mfano mtu anatakiwa kutibiwa ugonjwa wenye vipimo gfhali na operesheni kadhaa
aende kampuni ipi?

AAR mkuu
 
Metropolitan 20 mil kwa mwaka, ina cover 'some'

strategy ni chee zaidi
 
Makampuni ya bima ni wezi tu hakuna cha nafuu wala hafadhari wote wale wale si AAR,Si strategies,si NHIF,si Resolution etc
 
ikoje gharama zake?

Mimi nafikiri uangalie zaidi ipi ambayo unaweza kuitumia kwenye hospitali zenye madaktari wazuri na dawa.

Nilifanya research isiyo rasmi kipindi fulani wakati namtafutia kijana wangu na mama yake nikagundua coverage ya AAR ni nzuri,inakubalika hospitali zote kubwa.

Ila bei yao imechangamka,mama na mtoto niliwalipia 2.2M hiyo ni gold membership kwa mwaka,ni international kwa maana popote duniani unatibiwa na wanatibiwa nje ya nchi kama ugonjwa utashindikana tz.

Ila kuna silver na bronze na kama nakumbuka vizuri tofauti ya gharama kati ya packages ilikuwa around laki 3
 
Kula like mkuu
 
asante ntatazama
 
Wadau naomba msaada katika tuta kuhusu moja ya mahitaji ya schengen Visa, ambalo ni kuwa na bima ya afya , naomba niweke kama walivyoandika wenyewe katika application form, "Proof of medical insurance for the duration of the stay with minimum cover of 30,000 Euro"

Kwa wale wazoefu wa haya mambo naomba kuuliza ,Ninaipataje bima hii kwa hapa kwetu Tanzania? na je inaposema minimum cover of 30,000 je natakiwa nilipie kiasi gani ili kuweza kuwa covered kwa kiasi hicho?

Asante sana
 
Wakuu mimi ni mjasiriamali na nahitaji bima ya afya, je utaratibu kuipata ukoje!? Naweza kupata kwenye hospitali ya wilaya? Gharama zake zikoje in comparison!? Nimewahi tumia ya NHIF nikiwa chuo na tulikuwa tunalipia 50000! Sijajua sasa gharama zikoje
 
jiunge nssf unachangia kwa hiyari minimum tsh elfu20 then unapata kutibiwa bure pia yani unapata fao la matibabu ambalo ni sawa na bima ya afya.

nhif kwa mtu sio muajiriwa niliwah kuwapigia simu wakaniambia ni tsh laki 9 kwa mwaka, au jaribu nawewe kuwapigia ingia site yao kuna namba za simu. au nenda personaly ofisini kwao uwaulze halafu utupe mrejesho. au i hope mwenye kujua gharama za nhif kwa asiye mfanyakaz atakuja kutujuza.
 
Wakuu mimi ni mjasiriamali na nahitaji bima ya afya, je utaratibu kuipata ukoje!? Naweza kupata kwenye hospitali ya wilaya? Gharama zake zikoje in comparison!? Nimewahi tumia ya NHIF nikiwa chuo na tulikuwa tunalipia 50000! Sijajua sasa gharama zikoje

Fika kwenye Ofisi yoyote ya Bima ya Afya (NHIF) ilyo karibu nawe watakujuza utaratibu mzima. Kima cha kuchangia kwa mwanachama ambaye si mtumishi wa umma (mjasiliamali) ni Sh. 968,500/= kwa mwaka na watakaonufaika na matibabu ni wewe mchangiaji, mwenza wako (mkeo/mumeo) na watoto wenu wenye umri chini ya miaka 18 au wazazi wenu ilimradi idadi ya wtegemezi wasizidi wanne. Kwa mantiki hiyo wanfaika wasizidi sita. Ukisaliia nausaini mkataba wewe a waegemezi wako mtapwa vitambulisho vitakavyowawezesha upata huduma za matibabu kwenye hospitali yoyote iliyosajiliwa na Bima ya Afya popote ndani ya mpaka ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.

Aidha huduma zinazogharamiwa na Bima ya Afya ni:- Ada ya uandikihji, wagonhjwa wa nje(Outpatiens) wagonjwa wakulawa (inpatients), vipimovyote viakavyotakiwa na daktari, Dawa zote kwa mujbu wa Orodha ya Taifa ya Dawa, atibabu ya macho(pamoja na mwani ya kusomea kwa mwanchama mchangiaji tu), matibau ya kinywa na meno (isipokuwa meno ya bandia) huduma zaupasuaji kuanziaupasuaji mdogo hadi upasuai mkubwa na wa kitaalau (specialist surgery). Hayonika uchache,maelezozaidi unawe kuyapata kwenye Ofizi za Bima ya Afya ambazo zipo kila Mkoa.
 
shukrani kwa ufafanuzi mkuu..japo kwa tusio na familia ni ghali sana!!
 
Back
Top Bottom