tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
jiunge nssf unachangia kwa hiyari minimum tsh elfu20 then unapata kutibiwa bure pia yani unapata fao la matibabu ambalo ni sawa na bima ya afya.
nhif kwa mtu sio muajiriwa niliwah kuwapigia simu wakaniambia ni tsh laki 9 kwa mwaka, au jaribu nawewe kuwapigia ingia site yao kuna namba za simu. au nenda personaly ofisini kwao uwaulze halafu utupe mrejesho. au i hope mwenye kujua gharama za nhif kwa asiye mfanyakaz atakuja kutujuza.
vipi huduma ya NSSF imesambaa hospitali nyingi"? laki tisa ni ghali sana!!