balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Jubelee insurance miezi sita fleshWakala gani anaruhusu nusu nusu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jubelee insurance miezi sita fleshWakala gani anaruhusu nusu nusu
Kuna kampuni ilikua inaitwa 'REAL INSURANCE' ilikua unalipia mwezi kwa mweziBora ajichange akate ya Mwaka ili asahau Mwaka mzima,Mambo siku hizi ni mengi miezi 6 hii hapa fumba fumbua!!
Hujajua maisha wewe. Watu ipo siku unabaki na 5,000/= mfukoni. Huku familia yote inakutizama. Sembuse 118,000/=?Watz tumezidi sana kulalamika jamani!
Yani mtu anaona 118,000 kwa mwaka ni nyingi mpaka anaifungulia uzi sasa huyu amemiriki gari ya nini?
Mtu kama huna uwezo wa kumiriki gari bora uache tu aisee
Kumbe kuna Comprehensive full cover na nyingine isiyo full cover?Watalipa kiasi kinachozidi baada ya 350k. Mfano ajali imesababisha repair ya 500k ww utalipa 350k then wao watalipa 150k.
Ila ukiwa umelipia full cover wanakulipa hela yote so binafsi naonaga kuliko ulipe comprehensive ya kawaida ni aheri ukate bima ya kawaida tu. Kama ni compr ni bora kulipia full cover.
Kuna masharti kibao bima wanayaficha ila ukipata tatizo ndio unaelezwa. Naona ni muhimu sana tupate elimu ya bima kwa upana.
Yeah ndivyo ilivyo. Ila hawapendi kuielezea full cover wanafichaficha sana.Kumbe kuna Comprehensive full cover na nyingine isiyo full cover?
You are right.Hujajua maisha wewe. Watu ipo siku unabaki na 5,000/= mfukoni. Huku familia yote inakutizama. Sembuse 118,000/=?
Nina waweza kulipa hata kwa miezi sita sitaKwa Mambo yalivyobana ghafla utoe 118,000/= unaona Bora ununue wese likufikishe kwenye mishe kwanza. #Kupanga_ni_kuchagua#
Haijapanda bei ndio ileile 100,000 na 18,000 VATDah, nimeongea na wakala wangu anaenikatiaga bima amedai kuwa hajapata taarifa yeyote bado.
Wakala wote. Lkn nusu yake inakuwa 75 percent. Mie nakata NBC ni wakala wa Sanlam. System yao ipo vizuri na hakuna ubabaishajiWakala gani anaruhusu nusu nusu
Kwa bima ndogo Hawatoi siku hiziJubelee insurance miezi sita flesh
Sasa ukikosa si unatulia?Hujajua maisha wewe. Watu ipo siku unabaki na 5,000/= mfukoni. Huku familia yote inakutizama. Sembuse 118,000/=?
Haya maisha banaa we unatafta bima ya gari!kunaa anaetafta bima ya afya kwa 54000 na Hadi leo hana
Hii ndio wanyonge tunajifichemo humo. Wewe usipolipa unajitaftia kero tu za Yange Yange wa kamanda Sirro wale. Utakua unatoa ef 10/10 mpaka ukome.
Hahah ni noma, nimeona wale wanaovalia jezi za bahasha wakiwa wanamshusha dereva flani wa roli kama gunia la mkaa kwenye clip flani halafu mara naskia mkuu wa mkoa wa Mbeya anakiri jamaa amevuta ila anaanda tume kwa ajili ya kuchunguza kifo chake.Hahaha yange Yange wa Sirro ni hatari bora ulipe tu hiyo 118k.
Uzuri wa hii bima huwa ukikata unasahau ila inatia stress kama itaisha wakati huna hela.😁😁😁Sasa ukikosa si unatulia?
Kwani hiyo 118,000 ni kila siku
Bima ni jambo jema sana lakini kwa hapa kwetu doh nadhani bima ingetakiwa iwe ni moja wapo ya taasisi inayoshikiliwa na serekali maana inapokea in HUGE na kujitahidi kutoa KIDUCHU mno by hook and crooks ni ukweli ukizuba tu hulipwi hata senti tanoHivi ushawahi kujiuliza kwanini kwenye kudaiwa bima polisi wamepewa nguvu kukamata magari huko barabarani
Lakini mwenye gari akipatwa na tatizo wakati wa kufuatilia malipo ya bima, polisi hawasumbuki kumshurutisha mtoa bima kulipa kwa wakati!?
..Na usipoangalia unaweza kudhulumiwa wakati bima ulikata