Bima ya gari imekuwa anasa!

Bima ya gari imekuwa anasa!

Wakala wote. Lkn nusu yake inakuwa 75 percent. Mie nakata NBC ni wakala wa Sanlam. System yao ipo vizuri na hakuna ubabaishaji
Kati ya sanlam na Zanzibar insurance na jubilee nani yupo vizuri zaidi kwe malipo unapopata tatizo?
 
Kwa Mambo yanavyokwenda imefikia hatua hata bima ikiisha, kukata nyingine msala (hapa nazungumzia 'Third party').

Maisha haya aisee itafika wakati hata haya magari tutauza tu.
Ukiwa hufahamu maana ya Bima inakuwa anasa. Watu wanakata BIMA kwa sababu ya trafiki!
 
Mimi kuna kipindi nilikuwa nawabandikia Stika hao Viherehere askari wa Barabarani

Yuko Dada mmoja pale Temeke mwisho alikuwa mtaalam sana nilikuwa nafanya hivyo nikijua fika kuwa navunja Sheria

Ila ili Sheria iwe Sheria inatakiwa ifuatwe na wahusika wa pande zote wewe ukipata ajali Bima inakuzungusha mpaka unaamua wacha wakuzulumu dawa yao ni Stika feki.
 
Safi. Vipi kwa sasa hivi kipindi cha Electronic Stickers.. Unatumia njia gani kaka.
 
Watz tumezidi sana kulalamika jamani!

Yani mtu anaona 118,000 kwa mwaka ni nyingi mpaka anaifungulia uzi sasa huyu amemiriki gari ya nini?
Mtu kama huna uwezo wa kumiriki gari bora uache tu aisee
bima ya gari 118,000
kodi ya nyumba 12,000
makato ya mihamala $
kodi ya nyumba $
kodi ya duka $
kodi ya bizaa za duka $
bima ya bishara $
bima ya afya $
kodi ya maji $
kodi ya umeme $
kodi ya mshara
tiba ya helbs
wazazi nyumbani
wife na watoto
sadaka church
ujaumwa
ujala
ujavaa
ujasomesha
ujafanya maendeleo
ujaenda shell
michango ya maendelo ya kijiji
bado ujanunua vochaa
bado madem na michepuko

haya maisha ni magumu sana hasa kwa ss vijana tunajikazaa tu..unaweza ukajikuta kwa mwaka umeingiza milion10 milion 3 imeenda kwa serikali ya mama samia
 
Back
Top Bottom