doctordrew
Member
- Apr 26, 2020
- 71
- 36
Kati ya sanlam na Zanzibar insurance na jubilee nani yupo vizuri zaidi kwe malipo unapopata tatizo?Wakala wote. Lkn nusu yake inakuwa 75 percent. Mie nakata NBC ni wakala wa Sanlam. System yao ipo vizuri na hakuna ubabaishaji
Ukiwa hufahamu maana ya Bima inakuwa anasa. Watu wanakata BIMA kwa sababu ya trafiki!Kwa Mambo yanavyokwenda imefikia hatua hata bima ikiisha, kukata nyingine msala (hapa nazungumzia 'Third party').
Maisha haya aisee itafika wakati hata haya magari tutauza tu.
Na unaliendesha? Hudakwi?Mwaka Sasa sijakata bima (3rd party).
Hakunaga wa kunidaka.Na unaliendesha? Hudakwi?
SanlamKati ya sanlam na Zanzibar insurance na jubilee nani yupo vizuri zaidi kwe malipo unapopata tatizo?
Safi. Vipi kwa sasa hivi kipindi cha Electronic Stickers.. Unatumia njia gani kaka.Mimi kuna kipindi nilikuwa nawabandikia Stika hao Viherehere askari wa Barabarani
Yuko Dada mmoja pale Temeke mwisho alikuwa mtaalam sana nilikuwa nafanya hivyo nikijua fika kuwa navunja Sheria
Ila ili Sheria iwe Sheria inatakiwa ifuatwe na wahusika wa pande zote wewe ukipata ajali Bima inakuzungusha mpaka unaamua wacha wakuzulumu dawa yao ni Stika feki.
bima ya gari 118,000Watz tumezidi sana kulalamika jamani!
Yani mtu anaona 118,000 kwa mwaka ni nyingi mpaka anaifungulia uzi sasa huyu amemiriki gari ya nini?
Mtu kama huna uwezo wa kumiriki gari bora uache tu aisee