Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hizi bima ni kampuni binafsi sasa ili kupata namba za Watanzania kirahisi wanajifungamanisha na kampuni za simu kama Tigo au Vodacom.
So far sasa wamepewa ruhusa ya kutumia namba 100 ili wasionekane matapeli.
Wale wahudumu wanamtumia mwanya wa Watanzania kutokujua mambo muhimu kuwalaghai.
Mkataba gani unafanywa bila mteja kuweka Saini?
Mkataba gani unafanywa bila mteja kupata nakala ya mkataba?
Kwanini bima zao wanasisitiza malipo yako utayapata mara baada ya kutoka wodini ulikolazwa?
Tena wengi wanasema malipo yatafanywa kwa waliolazwa zaidi ya siku 5, unajua mtu anayelazwa zaidi ya siku 5 kiuhalisia huyo kutoboa (kupona) si rahisi kwahiyo akifa mchezo umekwisha.
Nani atafuatilia malipo na atatumia mkataba upi kudai?
Kinachofanyika Watanzania wanakatwa pesa mpaka wanaudhika wanaamua kutupa line na kusajili tena.
Wanakata around 4.5k mpaka 7k, mtandao mmoja tu let's say Vodacom wakikatwa wateja 100,000 hapo kampuni inakuwa imevuna pesa nyingi.
Serikali isikatae wajibu wake. Kuna watu wanaungwa bila ridhaa, yaani ile kumsikiliza tu mhudumu usipomkalipia anakuunga. Maana wanapewa malengo kila siku upate wateja 7 kwahiyo rough lazima ichezwe na ukiungwa kutolewa si kazi rahisi na pesa automatically inakatwa kila mwezi.