Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
The business model inarelay on kutolipa madai..... ujinga wako capital yao
Hatari Sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The business model inarelay on kutolipa madai..... ujinga wako capital yao
Pole sana. Dalili mojawapo ya utapeli ni kwamba hakuna option ya kujitoa. Wakati kukuunga kwao ni rahisi tu.Aisee,aisee JF na WanaJF mmbarikiwe sana!,Hili mkuu nimeiona sana,sikuwa na pa kusema Bora umelianzisha!Nakatwa hela kila mwezi book7kwenye pesa zangu kupitia mitandao hiyo tajwa, mpaka nimetafuta line za mitandao mwingine bila kupenda ili nisikatwe hizo hela!Kujitoa hakuna hiyo option!Hata sijui nilijiunga lini!Tena nadhani nilijiunga nikiwa nipo farujohn.Waache Mkuu.
Malizia per yearbima ya afya ya shirika la taifa ni laki Moja na 96 tu unatibiwa fresh mtu mmoja
Yeah exactly 💯 brotherMalizia per year