Aisee,aisee JF na WanaJF mmbarikiwe sana!,Hili mkuu nimeiona sana,sikuwa na pa kusema Bora umelianzisha!Nakatwa hela kila mwezi book7kwenye pesa zangu kupitia mitandao hiyo tajwa, mpaka nimetafuta line za mitandao mwingine bila kupenda ili nisikatwe hizo hela!Kujitoa hakuna hiyo option!Hata sijui nilijiunga lini!Tena nadhani nilijiunga nikiwa nipo farujohn.Waache Mkuu.