wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
ππ Mzee mimi naendesha roho za Paka mzee,yaani field zile ngumu ngumu mpk wadogo wamegoma kuja site maana wakija wanasema wanaumwa malaria,Mara Ni porini Sana.Wamekalia kupambania ajira lkn wkt huo huo Bata wanalolipata kutoka huko huko kwny hizo field ngumu wanazitaka πππNingemtaja hapa na kutoa hata location yake ila sio anaweza na mie kunijua au usije ukawa ndio wewe mwenyewe πππππ
Hapo point ni Spidi kubwa ni hatari... Chochote kinaweza kutokea..!hiyo kutubu ya kusubiri mpaka chochote kitokee mbona kama ya kumtega huyo unayemtubia kama vile huna haja ya kutubu mpaka chochote kitokee. huyo unayemtubia ana formula kuwa anakuvizia usipotubu anakufanyaje au ukitubu wakati kimetokea chochote atakufanyaje?
ππ Nikadhani bongo hii,ningestaajabu sana.Bongo Kuna ubahili Sana,Kuna jamaa namjua amekula tenda ya hapo kwny 10's bil na bado hivi vitenda vya Tarura anapiga Kama vyote lkn anatembeleaga Rav 4 old model na Nissan hardbody imechoka kimtimdo.Yaani ukimuona Kama lofa hivi,Ila mijengo anayo balaa.Nadhani Kuna watu wengine hawanaga hobby na magari mzee.field za mbele huko, hapa bado kuanza kwenda field kui hudumia ile ni gharama kulinganisha na Hilux πππ
Maisha ya field matamu sana, unapotea siku ukiibuka mtu mpya alafu unapotea tenaaa.. shida vijana wanapenda maisha mepesi mepesi ndio upumbavu wao.. πππ kuna maeneo unaenda hadi unasema hapa ni Tz na hawa ni watu kama sieππ Mzee mimi naendesha roho za Paka mzee,yaani field zile ngumu ngumu mpk wadogo wamegoma kuja site maana wakija wanasema wanaumwa malaria,Mara Ni porini Sana.Wamekalia kupambania ajira lkn wkt huo huo Bata wanalolipata kutoka huko huko kwny hizo field ngumu wanazitaka πππ
Magari ni hobby, wakandarasi wanajenga wengine kwa faida ya miradi mikubwa, wanapo taka guarantee au mikopo inakuwa rahisi japo wengine wanajenga kwa uoga wa maisha.. bora huyo ana rav 4 mmoja namjua anatumia mark 2 na tena kaivua kwa mtu mwanzo alikuwa na ki IST wakati ana project kubwa moja wapo ina zaidi ya 10 billion , wengine sijui hawajui matumizi ya hela , ila wanapenda mademu na kuhongaππ Nikadhani bongo hii,ningestaajabu sana.Bongo Kuna ubahili Sana,Kuna jamaa namjua amekula tenda ya hapo kwny 10's bil na bado hivi vitenda vya Tarura anapiga Kama vyote lkn anatembeleaga Rav 4 old model na Nissan hardbody imechoka kimtimdo.Yaani ukimuona Kama lofa hivi,Ila mijengo anayo balaa.Nadhani Kuna watu wengine hawanaga hobby na magari mzee.
ila nikiwa mzito, gari za field zitakuwa land lover , mercedez benz na Bmw na audi kibabe tuπππππ Nikadhani bongo hii,ningestaajabu sana.Bongo Kuna ubahili Sana,Kuna jamaa namjua amekula tenda ya hapo kwny 10's bil na bado hivi vitenda vya Tarura anapiga Kama vyote lkn anatembeleaga Rav 4 old model na Nissan hardbody imechoka kimtimdo.Yaani ukimuona Kama lofa hivi,Ila mijengo anayo balaa.Nadhani Kuna watu wengine hawanaga hobby na magari mzee.
Europe machine ziki kuharibikia kazura mimba, utaibeba mgongoni hadi Dar es Salaam ππππToyota amesambaa sana Tz, uwepo wa mafundi na spares unawafanya hata hao contractors waone haina haja ya kununua Benz au Amarok ambapo service anaifuata Dar wakati mkoa wa pembeni unapata mafundi kwa urahisi.
Ila haimaanishi hayo madude ni cheap to own and operate. Convenience ndo inawafanya watumie hayo madude.
Sio top gear tu check car wow uone pickup zote zikipambanishwa Amarok alichakazwa na Hiluxππ Top gear walishamaliza ubishi khs Hilux.Sijui uimara wa Amarok wenyewe ulipimiwa wapi mzee.
Yeah sahizi hata Toyota nazo ni expensive mbona kumaintain! Wanaomiliki Harrier na Crown tu wanaelewa mziki wakeπ π π hayo ma offroader tu ndio si mchezo!Toyota amesambaa sana Tz, uwepo wa mafundi na spares unawafanya hata hao contractors waone haina haja ya kununua Benz au Amarok ambapo service anaifuata Dar wakati mkoa wa pembeni unapata mafundi kwa urahisi.
Ila haimaanishi hayo madude ni cheap to own and operate. Convenience ndo inawafanya watumie hayo madude.
Fungua browser yako then search jf then search hii thread utakuja kunishukuru badae.Natumia app ya JF nikitaka kuona hiyo attachment iliyotumwa nafanyaje?
Toyota wanatengeneza Landcruiser mkonga tu kwa ajili ya rough road... Hii ndio gari ya field.Kipimo kirahisi kabisa Cha durability za magari Ni angalia wakandarasi wakiwa field Ni GX ngapi unaona wanazitumia kwny kazi zao za kila siku vs hao hao wakandarasi wakienda field kila siku Ni Benz/BMW/Audi/Land Rover/Volvo ngapi/model gani hua unawaona nazo field.
Ukifanyika tena mkutano wa wakandarasi (CRB) nitakushtua uende kwny parking Yao ujionee magari Yao ni yapi,Ni full GX/VX/LC's na Wana uwezo wa kununua Gari yoyote Ile waitakayo kibongo bongo.Hizo RR,BMW,Benz hua wanaenda nazo church,harusini etc na sio field.Kisa Ni Nini? Durability.
Ndio mjerumani ila anayejielewa kwenye pickup! Gari za lami ukipeleka kule ni kutafta ugonjwa wa moyo tu!
Sijazungmzia Hilux sababu najua Amarok hatoboi kwa mtoto Revolution toka japani!
Offroad ndio mahali hizo gari zinatakiwa zishindanishwe! Kwa Towwing na offroad Amarok akatafte mandazi na chai!
Kwenye kukimbia amarok ndio atamsumbua Hilux tena iwe amarok engine kubwa!
Barabarani ila sio kwenye kaziAmarok na Hilux ni ligi nyepesi sana kwa Amarok....
"Tesla says itβs capable of 0-60 in less than 2 seconds, claiming in the earnings presentation that itβs the fastest-accelerating production car in the world." Siko kwenye ubishani wenu ila nime google mara moja na kukuta hii sentensi toka Bloomberg.Hahaha aisee unazingua.. Engine na Motor mule mule..!
Unaona sasa aina ya gari unazozitaja.. Ndio nazisikia leo.. Gari za kuhesabika na sio sedans.. Inaonesha kabisa hakuna gari nyingi zinazoweza kupull hiyo 2 seconds barrier..!
Aisee X6 M haina engine ndogo.. Twin turbo.. V8.. 600+ hp.. Nini tena upewe hapo.. Yes haijafika hp za Hawk ila hiyo Bavarian Motor sio ndogo..Yaani Sababu Yao Ming ni mrefu zaidi ya Shaq O'Neal unataka kusema Shaq ni mfupi..!!?
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mchina aliipeleka bmw Rufiji via mloka alirudi kalibeba[emoji23][emoji23]Europe machine ziki kuharibikia kazura mimba, utaibeba mgongoni hadi Dar es Salaam [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
wa kupuliza
Kweli tupu[emoji106]Toyota wanatengeneza Landcruiser mkonga tu kwa ajili ya rough road... Hii ndio gari ya field.
Wewe nenda kanunue Hilux Vigo kuanzia AN10 au Land Cruser V8 kuanzia 200 series halafu ukaipitishe kwenye mavumbi day in day out...
Kama haujalipaki kwa kushindwa kulihudumia....
Maana yananyonya damu mpaka utamtamani mwenye Bimmer.
na hakuna mtu wa field asietaka Amarok, sema zimesimama.. zipo tunaziona watu wanazitumia field, na kuna hilux zimechakaa hadi kinyaa hata kupandaBarabarani ila sio kwenye kazi