Bimmer na Landcruiser V8

Bimmer na Landcruiser V8

Ningemtaja hapa na kutoa hata location yake ila sio anaweza na mie kunijua au usije ukawa ndio wewe mwenyewe πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
πŸ˜„πŸ˜„ Mzee mimi naendesha roho za Paka mzee,yaani field zile ngumu ngumu mpk wadogo wamegoma kuja site maana wakija wanasema wanaumwa malaria,Mara Ni porini Sana.Wamekalia kupambania ajira lkn wkt huo huo Bata wanalolipata kutoka huko huko kwny hizo field ngumu wanazitaka πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
hiyo kutubu ya kusubiri mpaka chochote kitokee mbona kama ya kumtega huyo unayemtubia kama vile huna haja ya kutubu mpaka chochote kitokee. huyo unayemtubia ana formula kuwa anakuvizia usipotubu anakufanyaje au ukitubu wakati kimetokea chochote atakufanyaje?
Hapo point ni Spidi kubwa ni hatari... Chochote kinaweza kutokea..!
 
field za mbele huko, hapa bado kuanza kwenda field kui hudumia ile ni gharama kulinganisha na Hilux πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
πŸ˜„πŸ˜„ Nikadhani bongo hii,ningestaajabu sana.Bongo Kuna ubahili Sana,Kuna jamaa namjua amekula tenda ya hapo kwny 10's bil na bado hivi vitenda vya Tarura anapiga Kama vyote lkn anatembeleaga Rav 4 old model na Nissan hardbody imechoka kimtimdo.Yaani ukimuona Kama lofa hivi,Ila mijengo anayo balaa.Nadhani Kuna watu wengine hawanaga hobby na magari mzee.
 
πŸ˜„πŸ˜„ Mzee mimi naendesha roho za Paka mzee,yaani field zile ngumu ngumu mpk wadogo wamegoma kuja site maana wakija wanasema wanaumwa malaria,Mara Ni porini Sana.Wamekalia kupambania ajira lkn wkt huo huo Bata wanalolipata kutoka huko huko kwny hizo field ngumu wanazitaka πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Maisha ya field matamu sana, unapotea siku ukiibuka mtu mpya alafu unapotea tenaaa.. shida vijana wanapenda maisha mepesi mepesi ndio upumbavu wao.. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kuna maeneo unaenda hadi unasema hapa ni Tz na hawa ni watu kama sie
 
πŸ˜„πŸ˜„ Nikadhani bongo hii,ningestaajabu sana.Bongo Kuna ubahili Sana,Kuna jamaa namjua amekula tenda ya hapo kwny 10's bil na bado hivi vitenda vya Tarura anapiga Kama vyote lkn anatembeleaga Rav 4 old model na Nissan hardbody imechoka kimtimdo.Yaani ukimuona Kama lofa hivi,Ila mijengo anayo balaa.Nadhani Kuna watu wengine hawanaga hobby na magari mzee.
Magari ni hobby, wakandarasi wanajenga wengine kwa faida ya miradi mikubwa, wanapo taka guarantee au mikopo inakuwa rahisi japo wengine wanajenga kwa uoga wa maisha.. bora huyo ana rav 4 mmoja namjua anatumia mark 2 na tena kaivua kwa mtu mwanzo alikuwa na ki IST wakati ana project kubwa moja wapo ina zaidi ya 10 billion , wengine sijui hawajui matumizi ya hela , ila wanapenda mademu na kuhonga
 
πŸ˜„πŸ˜„ Nikadhani bongo hii,ningestaajabu sana.Bongo Kuna ubahili Sana,Kuna jamaa namjua amekula tenda ya hapo kwny 10's bil na bado hivi vitenda vya Tarura anapiga Kama vyote lkn anatembeleaga Rav 4 old model na Nissan hardbody imechoka kimtimdo.Yaani ukimuona Kama lofa hivi,Ila mijengo anayo balaa.Nadhani Kuna watu wengine hawanaga hobby na magari mzee.
ila nikiwa mzito, gari za field zitakuwa land lover , mercedez benz na Bmw na audi kibabe tuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Toyota amesambaa sana Tz, uwepo wa mafundi na spares unawafanya hata hao contractors waone haina haja ya kununua Benz au Amarok ambapo service anaifuata Dar wakati mkoa wa pembeni unapata mafundi kwa urahisi.

Ila haimaanishi hayo madude ni cheap to own and operate. Convenience ndo inawafanya watumie hayo madude.
 
Europe machine ziki kuharibikia kazura mimba, utaibeba mgongoni hadi Dar es Salaam πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
wa kupuliza
 
Toyota amesambaa sana Tz, uwepo wa mafundi na spares unawafanya hata hao contractors waone haina haja ya kununua Benz au Amarok ambapo service anaifuata Dar wakati mkoa wa pembeni unapata mafundi kwa urahisi.

Ila haimaanishi hayo madude ni cheap to own and operate. Convenience ndo inawafanya watumie hayo madude.
Yeah sahizi hata Toyota nazo ni expensive mbona kumaintain! Wanaomiliki Harrier na Crown tu wanaelewa mziki wakeπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… hayo ma offroader tu ndio si mchezo!
 
Kipimo kirahisi kabisa Cha durability za magari Ni angalia wakandarasi wakiwa field Ni GX ngapi unaona wanazitumia kwny kazi zao za kila siku vs hao hao wakandarasi wakienda field kila siku Ni Benz/BMW/Audi/Land Rover/Volvo ngapi/model gani hua unawaona nazo field.

Ukifanyika tena mkutano wa wakandarasi (CRB) nitakushtua uende kwny parking Yao ujionee magari Yao ni yapi,Ni full GX/VX/LC's na Wana uwezo wa kununua Gari yoyote Ile waitakayo kibongo bongo.Hizo RR,BMW,Benz hua wanaenda nazo church,harusini etc na sio field.Kisa Ni Nini? Durability.
Toyota wanatengeneza Landcruiser mkonga tu kwa ajili ya rough road... Hii ndio gari ya field.

Wewe nenda kanunue Hilux Vigo kuanzia AN10 au Land Cruser V8 kuanzia 200 series halafu ukaipitishe kwenye mavumbi day in day out...

Kama haujalipaki kwa kushindwa kulihudumia....

Maana yananyonya damu mpaka utamtamani mwenye Bimmer.
 
Hahaha aisee unazingua.. Engine na Motor mule mule..!

Unaona sasa aina ya gari unazozitaja.. Ndio nazisikia leo.. Gari za kuhesabika na sio sedans.. Inaonesha kabisa hakuna gari nyingi zinazoweza kupull hiyo 2 seconds barrier..!

Aisee X6 M haina engine ndogo.. Twin turbo.. V8.. 600+ hp.. Nini tena upewe hapo.. Yes haijafika hp za Hawk ila hiyo Bavarian Motor sio ndogo..Yaani Sababu Yao Ming ni mrefu zaidi ya Shaq O'Neal unataka kusema Shaq ni mfupi..!!?
"Tesla says it’s capable of 0-60 in less than 2 seconds, claiming in the earnings presentation that it’s the fastest-accelerating production car in the world." Siko kwenye ubishani wenu ila nime google mara moja na kukuta hii sentensi toka Bloomberg.
 
Toyota wanatengeneza Landcruiser mkonga tu kwa ajili ya rough road... Hii ndio gari ya field.

Wewe nenda kanunue Hilux Vigo kuanzia AN10 au Land Cruser V8 kuanzia 200 series halafu ukaipitishe kwenye mavumbi day in day out...

Kama haujalipaki kwa kushindwa kulihudumia....

Maana yananyonya damu mpaka utamtamani mwenye Bimmer.
Kweli tupu[emoji106]
 
Back
Top Bottom