Kipimo kirahisi kabisa Cha durability za magari Ni angalia wakandarasi wakiwa field Ni GX ngapi unaona wanazitumia kwny kazi zao za kila siku vs hao hao wakandarasi wakienda field kila siku Ni Benz/BMW/Audi/Land Rover/Volvo ngapi/model gani hua unawaona nazo field.
Ukifanyika tena mkutano wa wakandarasi (CRB) nitakushtua uende kwny parking Yao ujionee magari Yao ni yapi,Ni full GX/VX/LC's na Wana uwezo wa kununua Gari yoyote Ile waitakayo kibongo bongo.Hizo RR,BMW,Benz hua wanaenda nazo church,harusini etc na sio field.Kisa Ni Nini? Durability.