Bimmer na Landcruiser V8

Aisee Bimmer haiwezi kufananishwa na Landcruiser..!!?
Itakuwa unafahamu model chache sana za Bimmer..!
Bila kusahau iPhone ni moto aisee.. Hiyo mada ya siku nyingine..!!
 
Aisee Bimmer haiwezi kufananishwa na Landcruiser..!!?
Itakuwa unafahamu model chache sana za Bimmer..!
Bila kusahau iPhone ni moto aisee.. Hiyo mada ya siku nyingine..!!
iPhone watuache tu kama tulivyo au sio πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….. cha kwanza hazishuki thamani kama hizo zingine
 
Mimi sijawahi ziendesha hizo mkuu ila nimezipanda baadhi tu. Ila ninaowafahamu walioendesha karibu hizo zote na wanaojua kuchambua magari wanakuambia wazi kabisa.
 
Kuna Samsung ziko vizuri kuliko iPhone. Hujatumia Samsung high range wewe.
 
Aisee Bimmer haiwezi kufananishwa na Landcruiser..!!?
Itakuwa unafahamu model chache sana za Bimmer..!
Bila kusahau iPhone ni moto aisee.. Hiyo mada ya siku nyingine..!!
Haha lazima mkubali kuwa Bimmer hajamzidi LC kwenye kila kitu. Vivyo hivyo kwa upande wa simu kuna baadhi ya android kama Samsung ambazo zimezizidi iPhone baadhi ya vitu.
 
Umetumia iPhone mwisho ipi kwanza [emoji28][emoji28][emoji28]
Nimetumia iPhone 12 Pro Max na nimetumia Samsung Galaxy S20. I'd still go for Samsung aisee and a lot of people would maana iPhone users wengi wanafuata mkumbo tu.

Na ndiyo nimeamini siyo kila mtu anayeziponda iPhone eti hana uwezo wa kununua kama wafungwa wengi wa iPhone mnavyodanganyana. Kuna watu wanajua kuchambua simu.
 
Unafikiri Samsung ni bora katika nyanja ipo zidi ya iPhone au unafikiri iPhone ina ubora gani zidi ya Samsung πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… umeona uwapa ya kidevu wafungwa wa iPhone
 
hiyo kitu achana nayo, iache tu iende wala hutakiwikushindana nayo.
 
Unafikiri Samsung ni bora katika nyanja ipo zidi ya iPhone au unafikiri iPhone ina ubora gani zidi ya Samsung [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] umeona uwapa ya kidevu wafungwa wa iPhone
Haha iPhone ni gereza mkuu ambalo wafungwa wake wengi ni bendera fuata upepo tu na wameshikiwa akili. Jaribuni kutoka kwenye hilo gereza mjaribu na brand nyingine kama Samsung muone utamu wake siyo mnasifia kwa mihemko tu!
 
Samsung zinadondoka thamani haraka sana kulinaganisha na iPhone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…