JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
Yeah we ulifikiri nazungumzia hilux Vigo? Vigo hamna kitu mle
Huyo mwenye 1GD tunamkabidhi kwenye Amarok ya 3.0L TDI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah we ulifikiri nazungumzia hilux Vigo? Vigo hamna kitu mle
Lady driven
Eeh gari lazma itapata kash kash mara umechomekewa na haisiKwa hiyo ukiendesha kama mwanaume sifa gari ikongoroke???🤣🤣🤣
Eeh gari lazma itapata kash kash mara umechomekewa na haisi
Sawa sawaWenye gari kali hayo mambo yakuchomekewa hawayajui...
Hata mwenye bajaj hana jeuri ya kumchomekea mwenye V8 maana anajua kifuatacho ni kuuza bajaj yake kwa ajili ya kurepair V8 na bado hela inaweza isitoshe.
Hivyo watu wanakuwaga na heshima.
Haya yamenisibu, juzi kati nilikuwa na safari ya dar-dom aisee, nilitembea, gari(xtrail) ina gia 6, speed 220km/hr, mpaka nafika dom sikumbuki km kuna gari ilinikata nikiwa njiani. Nilikutana na landcruiser 70 series(VDJ76) mbili, moja STK, nyingine ya mtu binafsi(DPA/K) nadhani walibaki wanajiuliza huko.Ukiwa na bmw inabidi utubu kwenye rasta maana ukimuiga v8 umeumia. Utauguza majeraha mpaka ukome. Kuanzia bushi mpaka shock ups lazima ubadili
Ila Bima zote ni nzuri and Classy 😍Hiyo 5 series mama
Hata spare zake sio ghali kama unavyodhania.Sawa kabisa mkuu unajua kila gari inategemea na malengo na mfuko wako ukoje! Ukiwa na uwezo wa kusatisfy mahitaji ya gari husika unaweza hata agiza 2021 BMW X7 ukaipeleka kwenye mamito na makorongo ya huko site!
Ikiua kifaa unaandika cheque ya million 15 unaagiziwa [emoji28] fasta! Umepasua sample unaandikia tu $5000 unaletewa wala haina shida! Mwenye hesabu kali hawezi kuishi humo!
Walioko cost concious ndio hao wanaotumia Hilux! Wapo watu wenye hela za kununua Amarok ila hawanunui kwani wao hawajui kwamba Amarok ina mvuto zaidi na gari ya hadhi zaidi!
Soma vyema mzee nimezungumzia bmw x7 ya 2021! Vifaa vyake lazma viwe vya ghali sana😅Hata spare zake sio ghali kama unavyodhania.
Bei za spare za magari mengi zinakaribiana. Inaweza kuwa 20% more au less.
Kama sample ya hilux utanunua 500k basi ya amarok itakuwa likely 700k. Ila haiwezi kuwa 10M - 15M. Labda uagiziwe na mafundi wanaoweka tamaa.
Hapo umezididha chumvi kupita maelezo.
Kwahiyo spare za LC 300 ni bei chee? Au spare za Lexus LX 600 ni bei sawa na Rav4 old model?Soma vyema mzee nimezungumzia bmw x7 ya 2021! Vifaa vyake lazma viwe vya ghali sana[emoji28]
Kwa mtu anayejitamba kuwa sahizi magari yeyote tu unaweza kwenda nayo off road basi aende na hio beamer porini!
Njoo nikupe lift, nina BMW X8 😊😊😊Ila Bima zote ni nzuri and Classy 😍
Kuna gari za offroad na town lami.. na zimetengezwa kwa ajiri ya offroad na town.. X7 sio gari ya kazi kwanza na haijatengezwa kwenda machokwani hukoSoma vyema mzee nimezungumzia bmw x7 ya 2021! Vifaa vyake lazma viwe vya ghali sana😅
Kwa mtu anayejitamba kuwa sahizi magari yeyote tu unaweza kwenda nayo off road basi aende na hio beamer porini!
Cheki chuma hii ilivyo shiba, tunawachapa mjini na porini tunawachapa, yaani hamtoki popote 😀😀😀Soma vyema mzee nimezungumzia bmw x7 ya 2021! Vifaa vyake lazma viwe vya ghali sana😅
Kwa mtu anayejitamba kuwa sahizi magari yeyote tu unaweza kwenda nayo off road basi aende na hio beamer porini!
😂😂 isiwe lift tu ya siku moja mkuu, nifanye niwe Mrs Holy man mwenye X8😬Njoo nikupe lift, nina BMW X8 😊😊😊
hilo ndio neno sasa umeongea 🤗🤗🤗🤗😂😂 isiwe lift tu ya siku moja mkuu, nifanye niwe Mrs Holy man mwenye X8😬
Soma vyema mzee nimezungumzia bmw x7 ya 2021! Vifaa vyake lazma viwe vya ghali sana😅
Kwa mtu anayejitamba kuwa sahizi magari yeyote tu unaweza kwenda nayo off road basi aende na hio beamer porini!
Unapenda eeh😂 sharti ni hadi niione hiyo Bima x8 sasa olee unidanganye naondoka😂😂hilo ndio neno sasa umeongea 🤗🤗🤗🤗
Trackhawk can't beat e63 s amgHizo ni SUV..
Yes hiyo Trackhawk ni fastest..Gari ya kushindana na Lamborghini Urus au Tesla ila X6.. Cayenne.. AMG sedans nyingi haziziwezi..
Pia hakuna sedans zenye engine ndogo zinayoweza acceleration ya hizo SUVs..! Kama zipo naomba unijuze..
Napenda, kwanini nisipende kuwa financial services , asiependa atakuwa karogewa baharini 😁😁😁 sikudanganyi hata uje tuanze na life tuUnapenda eeh😂 sharti ni hadi niione hiyo Bima x8 sasa olee unidanganye naondoka😂😂
Mr. Holy man haya nipe kwanza hiyo Bima niitest😂 karoute kidogo niende hata Dodoma😀Napenda, kwanini nisipende kuwa financial services , asiependa atakuwa karogewa baharini 😁😁😁 sikudanganyi hata uje tuanze na life tu