Bimmer na Landcruiser V8

Bimmer na Landcruiser V8

Eeh gari lazma itapata kash kash mara umechomekewa na haisi

Wenye gari kali hayo mambo yakuchomekewa hawayajui...

Hata mwenye bajaj hana jeuri ya kumchomekea mwenye V8 maana anajua kifuatacho ni kuuza bajaj yake kwa ajili ya kurepair V8 na bado hela inaweza isitoshe.

Hivyo watu wanakuwaga na heshima.
 
Ukiwa na bmw inabidi utubu kwenye rasta maana ukimuiga v8 umeumia. Utauguza majeraha mpaka ukome. Kuanzia bushi mpaka shock ups lazima ubadili
Haya yamenisibu, juzi kati nilikuwa na safari ya dar-dom aisee, nilitembea, gari(xtrail) ina gia 6, speed 220km/hr, mpaka nafika dom sikumbuki km kuna gari ilinikata nikiwa njiani. Nilikutana na landcruiser 70 series(VDJ76) mbili, moja STK, nyingine ya mtu binafsi(DPA/K) nadhani walibaki wanajiuliza huko.

Ila nimefika dom, juzi nafanya service nigeuze mambo mengi, ukizingatia wakati wa kuja sikufanya service mbona nimejuta, hapa nina mpango wa kurudi mdogo mdogo, nikitembea mwendo mkali basi ni 120 hivi, tena paliponyooka(maana kuna vipande mguu unasaliti akili)
 
Sawa kabisa mkuu unajua kila gari inategemea na malengo na mfuko wako ukoje! Ukiwa na uwezo wa kusatisfy mahitaji ya gari husika unaweza hata agiza 2021 BMW X7 ukaipeleka kwenye mamito na makorongo ya huko site!

Ikiua kifaa unaandika cheque ya million 15 unaagiziwa [emoji28] fasta! Umepasua sample unaandikia tu $5000 unaletewa wala haina shida! Mwenye hesabu kali hawezi kuishi humo!

Walioko cost concious ndio hao wanaotumia Hilux! Wapo watu wenye hela za kununua Amarok ila hawanunui kwani wao hawajui kwamba Amarok ina mvuto zaidi na gari ya hadhi zaidi!
Hata spare zake sio ghali kama unavyodhania.

Bei za spare za magari mengi zinakaribiana. Inaweza kuwa 20% more au less.

Kama sample ya hilux utanunua 500k basi ya amarok itakuwa likely 700k. Ila haiwezi kuwa 10M - 15M. Labda uagiziwe na mafundi wanaoweka tamaa.

Hapo umezididha chumvi kupita maelezo.
 
Soma vyema mzee nimezungumzia bmw x7 ya 2021! Vifaa vyake lazma viwe vya ghali sana😅

Kwa mtu anayejitamba kuwa sahizi magari yeyote tu unaweza kwenda nayo off road basi aende na hio beamer porini!
 
Soma vyema mzee nimezungumzia bmw x7 ya 2021! Vifaa vyake lazma viwe vya ghali sana[emoji28]

Kwa mtu anayejitamba kuwa sahizi magari yeyote tu unaweza kwenda nayo off road basi aende na hio beamer porini!
Kwahiyo spare za LC 300 ni bei chee? Au spare za Lexus LX 600 ni bei sawa na Rav4 old model?

Unadhani seti 1 ya taa za mbele za LC 300 na BMW X7 zipi zitakuwa ghali? Na utofauti wa bei unaweza ukawa % ngapi?
 
Soma vyema mzee nimezungumzia bmw x7 ya 2021! Vifaa vyake lazma viwe vya ghali sana😅

Kwa mtu anayejitamba kuwa sahizi magari yeyote tu unaweza kwenda nayo off road basi aende na hio beamer porini!
Kuna gari za offroad na town lami.. na zimetengezwa kwa ajiri ya offroad na town.. X7 sio gari ya kazi kwanza na haijatengezwa kwenda machokwani huko
 
Soma vyema mzee nimezungumzia bmw x7 ya 2021! Vifaa vyake lazma viwe vya ghali sana😅

Kwa mtu anayejitamba kuwa sahizi magari yeyote tu unaweza kwenda nayo off road basi aende na hio beamer porini!
Cheki chuma hii ilivyo shiba, tunawachapa mjini na porini tunawachapa, yaani hamtoki popote 😀😀😀
JituMirabaMinne
Isanga family
wa kupuliza
2BD74BBB-CEE5-415F-A459-83F4DBC0AE52.jpeg
 
Back
Top Bottom