Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Kimsingi do we need everything on touch kwanini physical buttons zina shida gani?Hahaha akijaza hivyo vioo tuu mwisho wa reliability yake..!
Kuna touch screen na pangusa screen..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimsingi do we need everything on touch kwanini physical buttons zina shida gani?Hahaha akijaza hivyo vioo tuu mwisho wa reliability yake..!
Kuna touch screen na pangusa screen..!
Katika Supra toyota walitaka fans wao wajihisi kama vile wanakitu kile kile lakini kimeboreshwa na kipya. Sure wanazo v6, powerful kuliko hio B58 mfano 2grfse, lakini Supra has been an inline 6 car, na inline 6 ina more space kwa ajili ya after market parts tofauti na v6 engine. Kwa wao kuanza kutengeza tena inline 6 tena ikawa ile ile 2jzgte isingekuwa efficient, wametaka inline, wameona BMW wanayo wakachonga michongo wakakubaliana. Fans wa Supra walikuwa dissapointed kwa sababu wameona wamepigwa changa hapa na kupewa engine ya BMW ambayo waliona itakuwa expensive to maintain na reliability haitakuwa ya toyota. Lakini it turns out kuwa hio b58 ni bonge moja la engine na inapotential ya more power kama au zaidi ya 2jzgte. Kuna jamaa Youtube ameitune kafika 1000hp i think, na hakupata purukushani kama ya 2zjgte kwenye ku tune. Nimesikia Nissan yeye kaamua kuifufua RB26 kabisa, sijui wamefikiaje saivi.Aisee safi sana.. Madini tupu..
Sasa hiyo ya 2jz kuwa ngumu kumeet emission uichukue pia ni sababu.. Hiyo ya assembly kuwa imeshavunjwa ni sawa..
Ila kumbuka B58 ni inline six sio V6.. Toyota anazo V6 hata leo.. Ila hajaziweka kwenye Supra..!
Sasa sensors zinatuma data then data inadisplay hapo kwenye dashboard.. Kwahiyo kama taa ya check engine inawaka.. Then teyari kuna tatizo.. Sensor hizo ndio chanzo..
Pia gari za kijerumani zinaposemwa unreliable sio kwamba bodi itabonyea.. Chassis itapinda.. No.. Ni hiyo mifumo yake ya umeme na tech ndio inasababisha unreliability.. Ila ukikutana na engines za zamani za kijerumani zipo reliable kweli... Mimi Bimmer yangu ina 250k odometer.. Na inapull kama train ya umeme..!
Sure kwa Toyota hataki mbwembwe.. Ndio maana anapata shida kuuza Europe..
Air suspension kwa mazingira yetu bora kumkubali Toyota na coils zake..!
ukweli ni upi ? Hilux unazijua zipi na matoleo yepi ? nina jamaa yangu yupo japan alinitumia sample kibao nichagua za hayo ma hilux, kwa ajiri ya kubebe mikaa
Umetisha sana.. Nimekusoma..!Katika Supra toyota walitaka fans wao wajihisi kama vile wanakitu kile kile lakini kimeboreshwa na kipya. Sure wanazo v6, powerful kuliko hio B58 mfano 2grfse, lakini Supra has been an inline 6 car, na inline 6 ina more space kwa ajili ya after market parts tofauti na v6 engine. Kwa wao kuanza kutengeza tena inline 6 tena ikawa ile ile 2jzgte isingekuwa efficient, wametaka inline, wameona BMW wanayo wakachonga michongo wakakubaliana. Fans wa Supra walikuwa dissapointed kwa sababu wameona wamepigwa changa hapa na kupewa engine ya BMW ambayo waliona itakuwa expensive to maintain na reliability haitakuwa ya toyota. Lakini it turns out kuwa hio b58 ni bonge moja la engine na inapotential ya more power kama au zaidi ya 2jzgte. Kuna jamaa Youtube ameitune kafika 1000hp i think, na hakupata purukushani kama ya 2zjgte kwenye ku tune. Nimesikia Nissan yeye kaamua kuifufua RB26 kabisa, sijui wamefikiaje saivi.
Usichukulia sensor kama chanzo cha tatizo, sensor inakwambia tu kuna kitu hakipo sawa you need to fix it. Mfano knock sensor, gari ikiwa ina knock, hio sensor inapeleka data kwa ECU, ECU ina change value kuona kama knock itaondoka kwanza, utaendesha gari usijua kama kuna wakati ili knock, lakini ikiwa haiondoki, ECU itakuletea check engine light, ukifanya diagnosis itakwambia tatizo kuna knock, wewe hapo tena unaanza kutafuta mzizi wa fitna. Sio knock sensor ilokuharibia gari, ila hio sensor imekujuilisha. Sasa kama huna hii sensor ya knock, values haziwi adjusted na ECU matokeo yake we unasikia tu hodi hodi kwenye engine.
Bimmer kweli umeme unasumbua, sio tu kwenye components za engine lakini hata umeme wa vitu vya body. Lakini wajerumani wanamsemo wao german engineering, wao kufanya kitu kiwe simple hawapo proud, lazima wakifanye kiwe complicated ili wawe proud kama wamefanya kazi ngumu.
In Europe, toyota lazima apate ngumu kushindana na hao wengine, Maana atataka kuuza LC300 kwa bei ya RR, watu wa Europe wanataka kizuri wajiskie kama hapa hela nimespend ndipo 😀 Kule marekani anauza kwa sababu wao wanaona bigger is better, we yatizame ma pick up ya USA utafikiri unataka kubeba nyumba.
Kwenye 3 series kuna M 340i.Aisee nahisi kwa hapa nyumbani TZ Diesel ndio moto zaidi.. Sababu dashboard inasogea zaidi ya 180kph.. Petrol nyingi hazivuki hapo 180kph..
Halafu sasa hata 316i nayo ni 3 series.. Hii sidhani kama inaweza LC200..
Kwenye kusprint labda..
Ila marathon V8 ni hatari.. Unahitaji engine kubwa kidogo kupambana naye bila kuichosha gari..!
LC300 haikanyagi Europe wala North America.Katika Supra toyota walitaka fans wao wajihisi kama vile wanakitu kile kile lakini kimeboreshwa na kipya. Sure wanazo v6, powerful kuliko hio B58 mfano 2grfse, lakini Supra has been an inline 6 car, na inline 6 ina more space kwa ajili ya after market parts tofauti na v6 engine. Kwa wao kuanza kutengeza tena inline 6 tena ikawa ile ile 2jzgte isingekuwa efficient, wametaka inline, wameona BMW wanayo wakachonga michongo wakakubaliana. Fans wa Supra walikuwa dissapointed kwa sababu wameona wamepigwa changa hapa na kupewa engine ya BMW ambayo waliona itakuwa expensive to maintain na reliability haitakuwa ya toyota. Lakini it turns out kuwa hio b58 ni bonge moja la engine na inapotential ya more power kama au zaidi ya 2jzgte. Kuna jamaa Youtube ameitune kafika 1000hp i think, na hakupata purukushani kama ya 2zjgte kwenye ku tune. Nimesikia Nissan yeye kaamua kuifufua RB26 kabisa, sijui wamefikiaje saivi.
Usichukulia sensor kama chanzo cha tatizo, sensor inakwambia tu kuna kitu hakipo sawa you need to fix it. Mfano knock sensor, gari ikiwa ina knock, hio sensor inapeleka data kwa ECU, ECU ina change value kuona kama knock itaondoka kwanza, utaendesha gari usijua kama kuna wakati ili knock, lakini ikiwa haiondoki, ECU itakuletea check engine light, ukifanya diagnosis itakwambia tatizo kuna knock, wewe hapo tena unaanza kutafuta mzizi wa fitna. Sio knock sensor ilokuharibia gari, ila hio sensor imekujuilisha. Sasa kama huna hii sensor ya knock, values haziwi adjusted na ECU matokeo yake we unasikia tu hodi hodi kwenye engine.
Bimmer kweli umeme unasumbua, sio tu kwenye components za engine lakini hata umeme wa vitu vya body. Lakini wajerumani wanamsemo wao german engineering, wao kufanya kitu kiwe simple hawapo proud, lazima wakifanye kiwe complicated ili wawe proud kama wamefanya kazi ngumu.
In Europe, toyota lazima apate ngumu kushindana na hao wengine, Maana atataka kuuza LC300 kwa bei ya RR, watu wa Europe wanataka kizuri wajiskie kama hapa hela nimespend ndipo 😀 Kule marekani anauza kwa sababu wao wanaona bigger is better, we yatizame ma pick up ya USA utafikiri unataka kubeba nyumba.
Aisee nahisi kwa hapa nyumbani TZ Diesel ndio moto zaidi.. Sababu dashboard inasogea zaidi ya 180kph.. Petrol nyingi hazivuki hapo 180kph..
Halafu sasa hata 316i nayo ni 3 series.. Hii sidhani kama inaweza LC200..
Kwenye kusprint labda..
Ila marathon V8 ni hatari.. Unahitaji engine kubwa kidogo kupambana naye bila kuichosha gari..!
Diesel haiwezi kuwa moto hata siku moja.expand...
Aisee zipo diesels ambazo ni fast kweli kweli.. M340d..Diesel haiwezi kuwa moto hata siku moja.
Engine ya diesel imetengenezwa kuwa na torque kubwa na siyo horsepower kubwa.
Hizo V8 mnazisifia hapa ukilikuta la diesel Cc 4500 tena la twin turbo halivuki 290HP....
Sasa gari kama hiyo tukimkabidhi bmw e90 335i ni kilio tu.
Yaani muende safari ndefu V8 na 3 series.... Halafu mgeuze 3 series ashindwe kugeuka???Aisee zipo diesels ambazo ni fast kweli kweli.. M340d..
Hiyo 335i engine kubwa.. Kwahiyo unaposema 3 series inabidi kuwa specif.. Maana hata 316i nayo ni 3 series ila haiwezi kukeep-up na Landcruiser..!
Yes V8 hazivuki hiyo 290hp.. Na hapo ndio kwenye advantage yake.. Engine ipo relaxed.. Not stressed.. Kwahiyo mkiwa mnaenda umbali mrefu na kesho asubuhi mnagueza sio kila 3 series itaweza huo mziki..!
Acha nicheke....Yes.. Akifuata mwendo wa V8 kesho hageuki..!
Nani alikwambia engine kubwa inakuwa relaxed?Aisee zipo diesels ambazo ni fast kweli kweli.. M340d..
Hiyo 335i engine kubwa.. Kwahiyo unaposema 3 series inabidi kuwa specif.. Maana hata 316i nayo ni 3 series ila haiwezi kukeep-up na Landcruiser..!
Yes V8 hazivuki hiyo 290hp.. Na hapo ndio kwenye advantage yake.. Engine ipo relaxed.. Not stressed.. Kwahiyo mkiwa mnaenda umbali mrefu na kesho asubuhi mnagueza sio kila 3 series itaweza huo mziki..!
Kwasababu gani?Yes.. Akifuata mwendo wa V8 kesho hageuki..!
Aisee sio sawa.. Ujazo wa engine ndio stamina muhimu.. Kuna gari za misele town.. Kuna gari za safari..Nani alikwambia engine kubwa inakuwa relaxed?
Hiyo theory ya kushindwa kugeuka umeitoa wapi?
Hata utoke misri mpaka afrika kusini non stop, 3 series inamwaga moto na kugeuka.
Hizo engine hata ziwe ndogo vipi, zishapitia stress test za kila aina.