Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Usijisahaulishe kuwa kulikuwa na 1HDT ambayo yenyewe ilikuwa na 164HP which made more speed than a range rover😅!200hp halafu wanalinganisha na hz yenye 129 hp kweli!japo rover ilikuwa ni v8,hivi hawa team toyota wanajua kuwa hiyo hz haifui dafu mbele ya prado L150?
1Hz top speed inafika 165KM/H
1HD-T inafika 177KM/H
Rover classic alikuwa 153KM/H akijitahidi 157KM/H
Ndio maana ulikuwa ukisikia story za landcruiser mkonge by that time ni noma. Alipokuja 80 series 1HD-FTE 24 Valves ndo ikawa mwisho wa maneno with 204HP