JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
Watu wamepaki maprado kama TRJ150 sababu ya kuburuza watakavyo.Toyota we buruza rasta utakavyo mzee ukifika utarudi salama mjini bila tatizo ila usijaribu hio kwa mjerumani au mjapani mweupe Nissan😅
Hilo LC200 ndio sitaki hata kulitaja.
Gari ya kuburuza utakavyo LC mkonge 70 series.