Gari gani inayocheua 600HP? Mmbongo anaweza kununua gari top spec toka bmw labda mtoto wa GSM ama bhakresa! Hizo M competition nyingi naona watu wanajibandikia vile virangi😅 na badge
Wengi na vi bmw vyao wanajikunyata kwenye 1.5-3L engines zenye 160-250HP na wenye SUV wengi ni Diesel. Wabongo wenye bmw za 300HP plus ni wa kuhesabika. Halafu mtu anadiss Toyota yenye horsepower za humo humo 😅😅😅!
1VD tu kwa kichaa cha 235HP lazma itawasumbua hao 3 series wenu wengi wa 1.5-2.0 excluding wenye ile 328i walau wanaweza kunyanyua shingo kidogo sababu engine yake inawahi kuchanganya twinturbo petrol ya 240HP at maximum rpm. Ila akiwekwa 200 series 3UR-FE petrol hamna choko yeyote wa BMW 3 series atakaesogeza pua including the M3! Watakaotamba ni kuanzia 400HP plus
Cruiser ya 1GR FE yenyewe tu mziki wake ni mnene sema sio nyingi ila hii engine iko kwenye prado za petrol baadhi na 70 series UTE! This masterpiece fucks all 3 series excluding the M3!