Bimmer na Landcruiser V8

Bimmer na Landcruiser V8

200hp halafu wanalinganisha na hz yenye 129 hp kweli!japo rover ilikuwa ni v8,hivi hawa team toyota wanajua kuwa hiyo hz haifui dafu mbele ya prado L150?
Usijisahaulishe kuwa kulikuwa na 1HDT ambayo yenyewe ilikuwa na 164HP which made more speed than a range rover😅!

1Hz top speed inafika 165KM/H
1HD-T inafika 177KM/H
Rover classic alikuwa 153KM/H akijitahidi 157KM/H

Ndio maana ulikuwa ukisikia story za landcruiser mkonge by that time ni noma. Alipokuja 80 series 1HD-FTE 24 Valves ndo ikawa mwisho wa maneno with 204HP
 
Aisee X5 haina tatizo kukeep up na Landcruiser.. Gari engine kubwa.. Na imetengenezwa kuwa segment moja na Landcruiser.. Toleo la kwanza E53 engine ndogo ina 3lts inline six na kuna options ya 4lts V8.. Kwahiyo ipo vizuri stamina.. Ukisema tutoke wote Dar Mwanza na Landcruiser haina shida kabisa ipo njema..!

Ishu yangu ni kusema 3 series itamkalisha Landcruiser.. Hapo ndio nakataa.. Zipo 3 series powerful na zipo 3 series weak.. E36 316i nayo ni 3 series.. Hii haiwezi mwendo wa Landcruiser kwa muda mrefu.. Toa facts za matuta.. Weka mkeka wa lami njia nzima..!

Na hii kitu imeshaongelewa.. Gari ndogo ya Toyota Passo dashboard inasoma 180..Gari kubwa ya Toyota 70 dashboard inasoma 180..wakienda umbali mrefu Passo hawezi kukeep up na 70 hata kama wote wana dashboard sawa..

Hapa naona watu wanatetea sababu logo imebadilika kutoka Toyota kwa BMW..!
Kupambana na Landcruiser unahitaji Engine kubwa sio logo ya BMW..!
Hahahahaha ninachojua kwa sprints land cruiser itakalishwa na supercharged engines za mjerumani ila kwa long trip ya nani awahi kufika you can’t fux with twin turbo V6 or V8’s za Land Cruisers!

Kuna ile 1GR land cruiser tu yenyewe ni mziki mwengine yani😅 inasepa kichizi! Petrol 4.0L V6 ukiikuta kwenye 70 series usije ukadhania ni 1HZ utapasua kifua😅 inamwaga between 236HP-270HP
 
Gari nyingi za mjep zinaishia 180 hivyo hata angekanyaga mpaka kibati bado 180 ndio ungekuwa mwisho....

Mjerumani angempita tu...

Halafu pamoja na kwamba LC ina engine kubwa ila bado Sedan nyingi zenye smaller engines huwa zinachanganya faster huliko SUV...

With exception kwa gari kama Jeep Grand Cherokee Trackhawk Ambayo engine yake ina almost 800HP kasoro.
Mkuu ilikuwa huko nyuma.
Currently gari nyingi zina 220kmph, 240kmph, 260kmph.
Mjapani. Anzia Suzuki grand hadi hizo V8 za GX, GX-R, VX na VX-R
 
Muonekano? Teh BMW show ya mbele kwenye most cars ni mbaya bana na zile vents kama pua za nyati! [emoji23][emoji23]

Hapo kwenye muonekano hasa wa nje hebu muacheni Land Cruiser aisee bila kusahau mlio wa engine! Kwa muonekano BMW kazidiwa hadi na Mercedes Benz kuanzia body hadi interior designs!

By the way hivyo vitu kama muonekano na mlio wa engine ni subjective tu
Kimsingi hata mimi BMW hazinivutii yani chache sana kama ile X3 ya 2010 labda ndio walau naipenda ina taa nzuri na uso proportional na body!
 
Kwanza kabisa nimesema wengi na siyo wote. Watu wengi wanaonunia iPhone wanafuata mkumbo ili tu aonekane naye ana iPhone lakini hawajui kuzitumia.

Na ndiyo hao wanaolalamika kuwa oo iPhone sijui kila kitu ni cha kulipia mara kwenye iPhone hauna uhuru au hauwezi kufanya hiki na hiki kama kwenye android. Ukiuliza kwanini sasa umenunua iPhone hana majibu anajiumauma tu so waliofuata mkumbo wanajulikanaga tu.
Hhahahhaha iphone inanunuliwa na watu wa trends tu ila kimatumizi zaidi ya whatsapp na filter za snapchat unakuta mtu hana anachofanya na ikizingua kidogo lazma akuite umrekebishie maana haelewi😅
 
Inategemea VX-R ya mwaka gani! Try it with 300 series Twin Turbo 3.5L V6 ndo utajua hujui!

Nissan mwenyewe kwenye sprint tu amekaa hafui dafu kwenye umeme wa 300 series!
Vipi tuwape hii au tunawaonea na hiyo VX-R L300
40B33DEE-F934-4F9E-8977-695249D9539D.jpeg
 
Hata hiyo x5 huwezi kulinganisha na LC VX in terms of reliability. Kwenye mbio Beemer anaweza kumsumbua kidogo ila kwa safari ndefu kwa hizi barabara zetu za kuunga hapa na pale bado LC 200 aka Kilimo kwanza Hana mpinzani
Mkuu wangu unazungumzia barabara gani kwani? ( Maana kama tunatoka Dar hadi Chato ni mkeka tu ). kwanini mnajifichia kwenye visingizio vya barabara 😂😂😂
 
Ni kweli ila sedan za wajerumani ziko vizuri
Ziko vizuri kwa amenities na performance ila sio rugged kama Toyota! German are fancy cars. They are made to enhance driving experience with alot of techs.

Toyota are practical cars yani zimetengenezwa for the purpose of serving the need. Unataka kwenda point A to B without any issue na you wanna keep going then buy a Toyota. Wameamua kuzifanya gari zao kuwa exciting recently ila tofauti hio watu hawawezi iona kwa sababu wengi wanatumia gari za 2003-2010 kwa sasa!

Starting from 2015 experience ya Toyota imedrift kuwa bora zaidi wanaoinjoy ni wale wanaotumia gari recent models from Toyota. Pia wana luxury division ya Lexus ila hizi ni aghali sana wabongo wengi hawawezi afford ila ukipata lexus za toka 2013 ziko on par na many german cars in terms of comfort and ride quality.
 
Sawa.
 
Mkuu wangu unazungumzia barabara gani kwani? ( Maana kama tunatoka Dar hadi Chato ni mkeka tu ). kwanini mnajifichia kwenye visingizio vya barabara 😂😂😂
Mzee baba hamna kisingizio cha barabara zaidi ya diversion tu za njiani hazikosekanagi!

Mie natamani siku moja tuweke live league humu wenye hizo gari tuone maana kelele ni nyingi! Naamini VX-R zipo nyingi tu hapa mjini na hizo X5 zipo! Tuchague ruti tu watu wachakazane hapo tuone nani atawahi kufika maana kelele ni nyingi! Na hio X5 iwe diesel ili kwenda sawa.

Kama petrol basi wote wawe na petrol engines.
 
Petrol tu, gari ya diesel ya kazi gani asee yamekuwa malori hayo.. root moja tu Dar es Salaam to Mwanza .. kwenda na kurudi.. mtakata mzizi wa fitina
 
Mkuu wangu unazungumzia barabara gani kwani? ( Maana kama tunatoka Dar hadi Chato ni mkeka tu ). kwanini mnajifichia kwenye visingizio vya barabara 😂😂😂
Ni mkeka Sawa ila kunakua na mashimo ya hapa na pale ya kushtukiza bila kusahau rasta na bumps. Hapo ndipo mjapan anapiga bao na LC 200
 
Back
Top Bottom