Bimmer na Landcruiser V8

Katika Supra toyota walitaka fans wao wajihisi kama vile wanakitu kile kile lakini kimeboreshwa na kipya. Sure wanazo v6, powerful kuliko hio B58 mfano 2grfse, lakini Supra has been an inline 6 car, na inline 6 ina more space kwa ajili ya after market parts tofauti na v6 engine. Kwa wao kuanza kutengeza tena inline 6 tena ikawa ile ile 2jzgte isingekuwa efficient, wametaka inline, wameona BMW wanayo wakachonga michongo wakakubaliana. Fans wa Supra walikuwa dissapointed kwa sababu wameona wamepigwa changa hapa na kupewa engine ya BMW ambayo waliona itakuwa expensive to maintain na reliability haitakuwa ya toyota. Lakini it turns out kuwa hio b58 ni bonge moja la engine na inapotential ya more power kama au zaidi ya 2jzgte. Kuna jamaa Youtube ameitune kafika 1000hp i think, na hakupata purukushani kama ya 2zjgte kwenye ku tune. Nimesikia Nissan yeye kaamua kuifufua RB26 kabisa, sijui wamefikiaje saivi.

Usichukulia sensor kama chanzo cha tatizo, sensor inakwambia tu kuna kitu hakipo sawa you need to fix it. Mfano knock sensor, gari ikiwa ina knock, hio sensor inapeleka data kwa ECU, ECU ina change value kuona kama knock itaondoka kwanza, utaendesha gari usijua kama kuna wakati ili knock, lakini ikiwa haiondoki, ECU itakuletea check engine light, ukifanya diagnosis itakwambia tatizo kuna knock, wewe hapo tena unaanza kutafuta mzizi wa fitna. Sio knock sensor ilokuharibia gari, ila hio sensor imekujuilisha. Sasa kama huna hii sensor ya knock, values haziwi adjusted na ECU matokeo yake we unasikia tu hodi hodi kwenye engine.

Bimmer kweli umeme unasumbua, sio tu kwenye components za engine lakini hata umeme wa vitu vya body. Lakini wajerumani wanamsemo wao german engineering, wao kufanya kitu kiwe simple hawapo proud, lazima wakifanye kiwe complicated ili wawe proud kama wamefanya kazi ngumu.

In Europe, toyota lazima apate ngumu kushindana na hao wengine, Maana atataka kuuza LC300 kwa bei ya RR, watu wa Europe wanataka kizuri wajiskie kama hapa hela nimespend ndipo 😀 Kule marekani anauza kwa sababu wao wanaona bigger is better, we yatizame ma pick up ya USA utafikiri unataka kubeba nyumba.
 
Umetisha sana.. Nimekusoma..!
 
Kwenye 3 series kuna M 340i.

Sasa huyo anamshindwa vipi huyo VXR wa diesel?
 
LC300 haikanyagi Europe wala North America.

Haijameet standards zao.

Mwisho ilikuwa LC200 kukanyaga kule.
 
expand...
Diesel haiwezi kuwa moto hata siku moja.

Engine ya diesel imetengenezwa kuwa na torque kubwa na siyo horsepower kubwa.

Hizo V8 mnazisifia hapa ukilikuta la diesel Cc 4500 tena la twin turbo halivuki 290HP....

Sasa gari kama hiyo tukimkabidhi bmw e90 335i ni kilio tu.
 
Aisee zipo diesels ambazo ni fast kweli kweli.. M340d..
Hiyo 335i engine kubwa.. Kwahiyo unaposema 3 series inabidi kuwa specif.. Maana hata 316i nayo ni 3 series ila haiwezi kukeep-up na Landcruiser..!

Yes V8 hazivuki hiyo 290hp.. Na hapo ndio kwenye advantage yake.. Engine ipo relaxed.. Not stressed.. Kwahiyo mkiwa mnaenda umbali mrefu na kesho asubuhi mnagueza sio kila 3 series itaweza huo mziki..!
 
Yaani muende safari ndefu V8 na 3 series.... Halafu mgeuze 3 series ashindwe kugeuka???
 
Nani alikwambia engine kubwa inakuwa relaxed?

Hiyo theory ya kushindwa kugeuka umeitoa wapi?

Hata utoke misri mpaka afrika kusini non stop, 3 series inamwaga moto na kugeuka.

Hizo engine hata ziwe ndogo vipi, zishapitia stress test za kila aina.
 
Nani alikwambia engine kubwa inakuwa relaxed?

Hiyo theory ya kushindwa kugeuka umeitoa wapi?

Hata utoke misri mpaka afrika kusini non stop, 3 series inamwaga moto na kugeuka.

Hizo engine hata ziwe ndogo vipi, zishapitia stress test za kila aina.
Aisee sio sawa.. Ujazo wa engine ndio stamina muhimu.. Kuna gari za misele town.. Kuna gari za safari..
Gari ya town ukiipa safari itachoka tuu..
Usain Bolt hata awe na mbio vipi.. Tukikimbia umbali wa km5 nitamshinda tuu.. Stamina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…