Hahahahah yani Men at work jamaa anafukia changarawe fasta ni kivumbi tu😅 achaneni na land cruiser!Kabisa. Halafu hapo hajakutana na kibao cha men at work kisha kipande cha barabara kimefungwa unatakiwa uchepuke kwenye barabara yenye mawe kama m300 hivi 😂.
Hapo Bima inaenda mwendo wa guta wakati mwenzake atawatimulia vumbi hao men at work.
Sasa tupo bongo Tz, hayo mambo ya kushindana kwenye clear track ni ya kufikirika.Hahahahah yani Men at work jamaa anafukia changarawe fasta ni kivumbi tu😅 achaneni na land cruiser!
Yani kumpita labda wafanye drag race on clear track na tena iwe sprint labda 1/4 mile Ila kama ni mbio za nani atangulie kufika basi hio V8 haina mpinzani!
Hahahahah ndio maana nikaweka bayana yani 😅 kwa kushindana nani awahi kufika LC haina mpinzani na ndio maana hata warabu hawaziachi hizi gari hata itoke G wagon ya kiwango gani still Land Cruiser ni Daily driven kwenye Sand dunes huko jangwani😅!Sasa tupo bongo Tz, hayo mambo ya kushindana kwenye clear track ni ya kufikirika.
Ukitaka kushindana lazima ufikirie matuta, mawe, mashimo, viraka, ng'ombe, mbuzi na binadamu wanaovuka barabara ghafla n.k
Na kwa mazingira haya LC V8 hana mpinzani atakuacha tu hata uwe na mjerumani mwenye 500 speed.
Aisee hii kitu sio sawa kabisa..Sasa tupo bongo Tz, hayo mambo ya kushindana kwenye clear track ni ya kufikirika.
Ukitaka kushindana lazima ufikirie matuta, mawe, mashimo, viraka, ng'ombe, mbuzi na binadamu wanaovuka barabara ghafla n.k
Na kwa mazingira haya LC V8 hana mpinzani atakuacha tu hata uwe na mjerumani mwenye 500 speed.
Zipo Benz baadhi na BMW kwenye fleet ya serikali na Mkapa alizitumiaga sanaAisee hii kitu sio sawa kabisa..
Ishu ni kwamba gari nyingi Landcruiser V8 ni za serikali au taasisi.. Kwahiyo dereva hana kujali sana kuhusu vipuri.. Tofauti na gari za kijerumani nyingi private..
Siku Serikali ukaamua kununua na Wajerumani kama STK.. Then wakakabidhiwa madereva.. Utaelewa kuwa Wajerumani kwenye spidi ndio penyewe..!
Kabisa mkuu. Shida ni kwamba, vijana wakishanunua bmw 1 series ya m15 baasi wanaona wamemaliza na kutaka sifa za kijinga za kujidanganya kujilinganisha na LC sababu sahani yake inasoma juu ya 180 na mlango ukiufungua ni mzito.Hahahahah ndio maana nikaweka bayana yani 😅 kwa kushindana nani awahi kufika LC haina mpinzani na ndio maana hata warabu hawaziachi hizi gari hata itoke G wagon ya kiwango gani still Land Cruiser ni Daily driven kwenye Sand dunes huko jangwani😅!
Waasi wenyewe wanatumia Hilux na hizo GX V8 mzee 😅..
Ma NGO makubwa kwanini wasinunue BMW wakati wanazimudu ila kila kukicha wanachukua ma LX 70 Series na kuyabatiza DFP?
Unahisi humu hatusafiri na magari sio? Nimeangalia hiyo video. Hamna mwendo hapo mnasogea tu mdogo mdogo.Aisee fans wa Toyota wengi hamfahamu magari zaidi ya V8 na JZ engines..
Landcruiser V8 zipo zenye top speed ya 180kph.. 240kph..260kph..ukiangalia kwenye hiyo video hilo ni GX.. 240kph.. Mimi chuma cha kijerumani kwanini nisimsmoke..!!
Akiyapita magari mengine mnasifia V8 gari inakimbia.. Nikimsmoke mnasema amerelax..! Angekuwa amerelax hiyo Prado 150 ingepitwa vipi..!!
V8 ni mbabe kwa wajapani wenzake.. Huku kwingine inakuwa mvutano..!
Aisee gari unanunua kutokana na matumizi.. Unahitaji kupeleka chanjo vijijini.. Unahitaji kubeba silaha.. Unahitaji kuvuta trailer..Waasi wenyewe wanatumia Hilux na hizo GX V8 mzee 😅..
Ma NGO makubwa kwanini wasinunue BMW wakati wanazimudu ila kila kukicha wanachukua ma LX 70 Series na kuyabatiza DFP?
Hapana hapo kwenye maelezo yako umeaply ceteris paribus theory.
Halafu, Nakuquote:
"Asikudanganye mtu eti 100 ya Basi ni kubwa kuliko 100 ya Passo".
Hakuna mtu aliye na elimu asiyejua hili ila hapa tunazungumzia vyombo viwili kushindana katika hizo km/hr zilizopo na sio utofauti wa km/hour 🤣.
Ukirudi kwenye uhalisia katika km hizo za kushindania Kuna engine performance, kuna tyre size, kuna road condition na mambo mengi.
KWA UFUPI, KATIKA KUSHINDANA SPEED METR NI SEHEMU NDOGO TU INAYOAMUA NANI ATASHINDA, MAMBO NI MENGI MNO YANAYOAMUA NANI AWE MSHINDI. Otherwise kama kila kitu ni sawa kusingekaa kukapatikana mshindi. Ingekuwa ni sare sare maua.
Inawezekana hajawai on mziki wa track hawk srt ule ni mziki mwingineJeep Grand Cherokee Track Hawk tafuta video zake youtube....
Kuna video nyingi tu watu wamefanya acceleration na hiyo gari na imechukua 2.7 sec tu.
Sasa wakati huo LC200 hazikuwepo.. Kabla ya LC200 Landcruiser bado zilikuwa zinasifika.. Ila hazikuwa na spidi kuliko mjerumani.. Ishu ni kwamba watu wengi hawapo exposed na magari yanayokimbia.. Ndio maana Landcruiser Mkonga imesifiwa sana kwa mwendo wakati ni gari nyepesi mnoooo kwa mjerumani..!Zipo Benz baadhi na BMW kwenye fleet ya serikali na Mkapa alizitumiaga sana
Video ya dashboard sina.. Ila huo sio mwendo wa kusogea mdogo mdogo.. Unaenda Mwanza usogee mdogo mdogo utafika kweli..!!!Unahisi humu hatusafiri na magari sio? Nimeangalia hiyo video. Hamna mwendo hapo mnasogea tu mdogo mdogo.
Lete video ikionyesha dashboard kama mlikuwa mnakimbia kweli.
Kaulizwa alimpita kwa speed gani hajajibu. Kabaki na ngonjera tu. Hata mimi nimeona wote wapo speed ya kawaida sana na si ajabu hata 120kph hawakuvuka.Unahisi humu hatusafiri na magari sio? Nimeangalia hiyo video. Hamna mwendo hapo mnasogea tu mdogo mdogo.
Lete video ikionyesha dashboard kama mlikuwa mnakimbia kweli.
Mkonga by the time ilipokuwa on its peak kulikuwa hamna gari inamsumbua hapo road! Hata Land Rover alikuwa anakalia kuti kavu when it came to speeding. Hapo nazungumzia zile early 90’s.Sasa wakati huo LC200 hazikuwepo.. Kabla ya LC200 Landcruiser bado zilikuwa zinasifika.. Ila hazikuwa na spidi kuliko mjerumani.. Ishu ni kwamba watu wengi hawapo exposed na magari yanayokimbia.. Ndio maana Landcruiser Mkonga imesifiwa sana kwa mwendo wakati ni gari nyepesi mnoooo kwa mjerumani..!
Upo sawa Jitu.Kumbe kuna mashindano, me sikujua kama unazungumzia mashindano.
Mashindano ni kitu kingine...
Nilichosema mimi 100 ya Passo na 100 ya Bus zote ni sawa, Ondoa engine perfomance, tire size au road condition.
Speed ni universal.
Yes hiyo ndio point yangu.. Exposure.. Sio kweli kuwa kulikuwa hakuna gari za kumsumbua.. Ni watu hawakuwa nazo au kuzifahamu.. Wajerumani wanazo gari zenye mbio tangu miaka ya 80..!Mkonga by the time ilipokuwa on its peak kulikuwa hamna gari inamsumbua hapo road! Hata Land Rover alikuwa anakalia kuti kavu when it came to speeding. Hapo nazungumzia zile early 90’s.
Ila kwa sasa 1HZ ni dated engine pamoja na tunes ila it cant make past 180KPH.
Hizo GX zinamilikiwa na serikali, makampuni na taasisi kubwa.Sawa utapita kwa speed kubwa kwenye rasta lakini baada ya week utaenda clinic kuuguza majeraha [emoji1787][emoji1787] maana huko chini kutaanza kugonga balaa
Gharama za parts za hizi gari za Toyota zikiwa brand new ni almost sawa na hizo za BMW.Nna experience ya BMW X3. Nilikua nalibembeleza kwenye rasta maana najua gharama zake kwenye kubadili bush na wishbone. Ila ukikuta lami nzuri na haina bumps za hapa na pale utatembea mpaka uchoke
Mkuu durability ya Gx huwezi kufananisha na Range Rover, BMWX5 ama suv nyingine za Mzungu. Hizi gari zimeundwa kwa ajili ya kazi na ndio hapo Mjapani anapompiga bao mzunguHizo GX zinamilikiwa na serikali, makampuni na taasisi kubwa.
Mantainance yake ni sawa na hizo za ujerumani, interms of expenses na time.
Ni vile individuals wachache ndo wanazimiliki na hawazipi kashkash kama za serikali. Nimeshafanya kazi na hizo gari, serikali inapeleka pale Toyota Tz bill inakuja 5 -6M na inalipa bila mawazo.
Ila msizione hiko barabarani mkaziona zni durable sana.
Aisee inaonesha mambo ya magari bado huyafahamu.. Video ya dashboard sina.. Ila angalia hiyo video.. Ina almost 60 secs.. Na imeanza kuchukuliwa teyari gari ipo kwenye mwendo.. Kwahiyo muda wote huo dakika nzima BMW inahangaika kufika 120kph..!!!Kaulizwa alimpita kwa speed gani hajajibu. Kabaki na ngonjera tu. Hata mimi nimeona wote wapo speed ya kawaida sana na si ajabu hata 120kph hawakuvuka.