Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahahah yani Men at work jamaa anafukia changarawe fasta ni kivumbi tu😅 achaneni na land cruiser!Kabisa. Halafu hapo hajakutana na kibao cha men at work kisha kipande cha barabara kimefungwa unatakiwa uchepuke kwenye barabara yenye mawe kama m300 hivi 😂.
Hapo Bima inaenda mwendo wa guta wakati mwenzake atawatimulia vumbi hao men at work.
Yani kumpita labda wafanye drag race on clear track na tena iwe sprint labda 1/4 mile Ila kama ni mbio za nani atangulie kufika basi hio V8 haina mpinzani!