Aisee naongelea wajerumani.. Sio lazima wawe SUVs.. Bimmer wamechelewa kuingia kwenye SUVs.. Mpaka mwishoni mwa miaka ya 90..View attachment 2023217
Hizo ndio engine na speed za G wagon benz miaka hio! Ukizungumzia wakumzidi mjapani sidhani kama kuna zaidi ya hao akina benz! Ila kwa speed hizo Land Cruiser mkonga still alikuwa mwamba.
Sasa kama ishu ni Toyota tu hata nayeye alikuwa na mashine za hatari kipindi hicho mzee! Usimchukulie kinyonge...Aisee naongelea wajerumani.. Sio lazima wawe SUVs.. Bimmer wamechelewa kuingia kwenye SUVs.. Mpaka mwishoni mwa miaka ya 90..
Range Rover classic ilikuwepo wakati huo.. 4.2EFI.. 200hp.. Stori zake unaambiwa hairuhusiwi kupaki benki..
Disco naye alikuwepo..
Mkonge na Nissan umaarufu sababu ndio unaziona kirahisi.. Gari za Serikali.. Ila gari nyepesi sana kwa Mzungu..!
Nimecheka kwa sautiSijaelewa chochote
Yes nakubali kabisa.. Toyota mashine alikuwa nazo.. Chache..!Sasa kama ishu ni Toyota tu hata nayeye alikuwa na mashine za hatari kipindi hicho mzee! Usimchukulie kinyonge...
Kulikua na kitu inaitwa Celica GT4 inakamua 239HP na kibati cha 250km/h mwaka 90 hio! Kipindi hiko gari nyingi zinaishia 90mph top speed
Mzee mjerumani bana! Sio kila gari yake ilikuwa na speedYes nakubali kabisa.. Toyota mashine alikuwa nazo.. Chache..!
Hiyo gari ilikuwa kama Supra.. Flagship..
Aisee hizo gari za top speed 90mph itakuwa za kijapani.. Sio mjerumani..
1984 Mjerumani alikuwa na fastest sedan dunia nzima..! 84!!!
Aisee Mjerumani na Mjapani wanapishana design philosophy..Mzee mjerumani bana! Sio kila gari yake ilikuwa na speed
Caterham ni 2 litre inline 4 ford engine,GTR ni 3.5 litre V6,na porche nayo ni inline 3 litre inline six.Hizo engine zote ni ndogo kuliko hiyo v8 yako.Itakuwa hizo gari ulizoziandika huzifahamu.. Hakuna yenye engine ndogo hapo..!
Itakuwa hizo gari ulizoziandika huzifahamu.. Hakuna yenye engine ndogo hapo..!
Kiongozi niliandika kabla sijapitia zote,nimerudi huko nikaona. Tupo pamoja kiongozi.nimegusia pia hicho kitu. Angalia Post number 25 (#25)....
Japo nimeiongelea tu ulaya....
Sawa sawa ila Beamer ana exercise sana tunes! Mjapani huwa anaishi sana na Naturally aspirated engines.Aisee Mjerumani na Mjapani wanapishana design philosophy..
Gari za mjerumani zipo designed kwa speed.. Autobahn..
Gari za mjapani zipo designed kwa low speed.. Sababu ya traffic jam ya Japan..
BMW inapenda kurev.. Wanaamini engine inakuwa alive from 4k rpms.. Kitu ambacho ni kweli kabisa..Ila gari ya Mjapani ukiifikisha 4k rpms utaona inavyolalamika.. Zipo chache zinazopenda kurev..!
Yeah naikumbuka hii agreement walimlimit kutoa HP za kuzidi ndio maana mjapan katuliaga zake kwa kipindi kirefu!Pia Mjapani alikuwa limited kutengeneza powerful engines.. Kuna kitu kinaitwa Gentleman's Agreement.. Hii ni kutokana na ajali kuongezeka.. Viwanda vya magari wakakubaliana waweke limit ya hp kwenye JDMs..!
Aisee Caterham sio sedan!! Hizo lightweight sports cars.. Kwa compassion hii utaleta hata gari za F1 sababu zina engine za chini ya 2lts..Caterham ni 2 litre inline 4 ford engine,GTR ni 3.5 litre V6,na porche nayo ni inline 3 litre inline six.Hizo engine zote ni ndogo kuliko hiyo v8 yako.
Aisee Mjapani ndio tunes nyingi.. Sifa kubwa ya Bimmer ameijenga kwenye NA..Sawa sawa ila Beamer ana exercise sana tunes! Mjapani huwa anaishi sana na Naturally aspirated engines.
Zipo mkuu. Kuna hii gari SSC ultimate aeroAisee 2 seconds sio mchezo..yaani kufumba na kufumbua upo 100..Kuna kitu kwenye magari kinaitwa 2 seconds barrier.. Jaribu kufuatilia uone kwanini it's nearly impossible kuvunja hiyo barrier ya 2 seconds..!
Tesla uliyoitaja ina hp zaidi ya Buku 1,000+hp.. Engine kubwa.. Hakuna sedan inaweza pull 0-100 under 2 seconds..! Hata mbele iwe imechongoka kama sindano na nyepesi kama karatasi haiwezi..! Hata hiyo Tesla kuna special conditions..!
Uzito.. Aerodynamics.. Yes hizo ni sababu za gari kuchanganyana mapema.. Ila Engine ndio kila kitu..LC200 nzito karibu tani 3.. Ila moto wake unajulikana.. Ndio maana hata jina maarufu ni V8.. Sifa ya engine..!
Hamna bana we angalia production engines za mjapani nyingi ni N/A mzee! Fuatilia!Aisee Mjapani ndio tunes nyingi.. Sifa kubwa ya Bimmer ameijenga kwenye NA..
Kuna bonge engine ya Bimmer stori yake ipo hivi McLaren alienda kwa Mjapani Honda amtengenezee.. Wakashindwa.. BMW alipoiona requirement akasema leteni tufanye kazi.. Ikatoka legendary engine mpaka leo.. Imeshikilia rekodi ya fastest NA karibu karne 2..inaitwa S70.. Mwaka 1992..!
Engine ya BMW yenye turbo ameanza kwa N54.. Hii waniita Germany 2JZ..!
Ila Mjapani ameweka maturbo CT tangu kitambo..!
Dawa ya V8 land cruiser ni moja tu. Subaru Forester XT/STi.Kama angekuwa 120 ningempita kwenye 3rd gear..!
Ni vile watu hamtaki kuamini kuwa V8 huwa zinapitwa.. Hata zikiwa full mwendo..!
Kwa aliyeendesha gari ya kijerumani anaelewa kabisa..!
Ok twende hivi.. Ulinitajia Toyota Celica GT4.. Naomba engine yake.. Then compare na Bimmer za mwaka miaka hiyo.. Ukikuta BMW walikuwa na petrol turboed engine yoyote kati ya mwaka 1986-2006 mimi nafunga huu uzi.!Hamna bana we angalia production engines za mjapani nyingi ni N/A mzee! Fuatilia
Funga 2jz mkuu uanzishe moto upyaAisee mambo ya bumps tena..!!Rough road..!!Huko hata 1HZ inaweza kukupita..
Hapo ni highway.. Stretch ndefu tuu hakuna bumps na ni lami tupu..
Unaweza ukawa na mjerumani ila ukashindwa kumtumia.. Tupunguze kutengeneza mazingira ya visingizio..
Hapo sijatoa facts gari yangu ni ya zamani.. Model ya 1992.. Imeingia Tanzania wakati wa namba TZ*.. Ina registration ya namba AB za mwanzoni.. Lakini hata leo hii hizo V8.. Kama sio VX.. VXR.. Lazima nikuvute shati..!
Na hizi challange zimeanza siku hizi gari imepungua moto.. Kipindi hicho cha late 90s gari bado mbichi ilikuwa haishikiki..!