KndNo1
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 627
- 2,049
- Thread starter
- #121
Aisee naongelea wajerumani.. Sio lazima wawe SUVs.. Bimmer wamechelewa kuingia kwenye SUVs.. Mpaka mwishoni mwa miaka ya 90..View attachment 2023217
Hizo ndio engine na speed za G wagon benz miaka hio! Ukizungumzia wakumzidi mjapani sidhani kama kuna zaidi ya hao akina benz! Ila kwa speed hizo Land Cruiser mkonga still alikuwa mwamba.
Range Rover classic ilikuwepo wakati huo.. 4.2EFI.. 200hp.. Stori zake unaambiwa hairuhusiwi kupaki benki..
Disco naye alikuwepo..
Mkonge na Nissan umaarufu sababu ndio unaziona kirahisi.. Gari za Serikali.. Ila gari nyepesi sana kwa Mzungu..!