Bimmer na Landcruiser V8

Bimmer na Landcruiser V8

View attachment 2023217
Hizo ndio engine na speed za G wagon benz miaka hio! Ukizungumzia wakumzidi mjapani sidhani kama kuna zaidi ya hao akina benz! Ila kwa speed hizo Land Cruiser mkonga still alikuwa mwamba.
Aisee naongelea wajerumani.. Sio lazima wawe SUVs.. Bimmer wamechelewa kuingia kwenye SUVs.. Mpaka mwishoni mwa miaka ya 90..
Range Rover classic ilikuwepo wakati huo.. 4.2EFI.. 200hp.. Stori zake unaambiwa hairuhusiwi kupaki benki..
Disco naye alikuwepo..
Mkonge na Nissan umaarufu sababu ndio unaziona kirahisi.. Gari za Serikali.. Ila gari nyepesi sana kwa Mzungu..!
 
Sasa kama ishu ni Toyota tu hata nayeye alikuwa na mashine za hatari kipindi hicho mzee! Usimchukulie kinyonge...

Kulikua na kitu inaitwa Celica GT4 inakamua 239HP na kibati cha 250km/h mwaka 90 hio! Kipindi hiko gari nyingi zinaishia 90mph top speed
 
Yes nakubali kabisa.. Toyota mashine alikuwa nazo.. Chache..!
Hiyo gari ilikuwa kama Supra.. Flagship..

Aisee hizo gari za top speed 90mph itakuwa za kijapani.. Sio mjerumani..
1984 Mjerumani alikuwa na fastest sedan dunia nzima..! 84!!!
 
Mzee mjerumani bana! Sio kila gari yake ilikuwa na speed
 
Mzee mjerumani bana! Sio kila gari yake ilikuwa na speed
Aisee Mjerumani na Mjapani wanapishana design philosophy..

Gari za mjerumani zipo designed kwa speed.. Autobahn..
Gari za mjapani zipo designed kwa low speed.. Sababu ya traffic jam ya Japan..

BMW inapenda kurev.. Wanaamini engine inakuwa alive from 4k rpms.. Kitu ambacho ni kweli kabisa..Ila gari ya Mjapani ukiifikisha 4k rpms utaona inavyolalamika.. Zipo chache zinazopenda kurev..!
 
Pia Mjapani alikuwa limited kutengeneza powerful engines.. Kuna kitu kinaitwa Gentleman's Agreement.. Hii ni kutokana na ajali kuongezeka.. Viwanda vya magari wakakubaliana waweke limit ya hp kwenye JDMs..!
 
Sawa sawa ila Beamer ana exercise sana tunes! Mjapani huwa anaishi sana na Naturally aspirated engines.
 
Yeah naikumbuka hii agreement walimlimit kutoa HP za kuzidi ndio maana mjapan katuliaga zake kwa kipindi kirefu!

Alikuwa anatoa vyuma vya hatari😅 vijana wanapagawa navyo wanakufa tu! Nafikiri baada ya Supra hakuruhusiwa tena kuendelea na maangamizi.
 
Caterham ni 2 litre inline 4 ford engine,GTR ni 3.5 litre V6,na porche nayo ni inline 3 litre inline six.Hizo engine zote ni ndogo kuliko hiyo v8 yako.
Aisee Caterham sio sedan!! Hizo lightweight sports cars.. Kwa compassion hii utaleta hata gari za F1 sababu zina engine za chini ya 2lts..
Tuhamie sasa kwenye hizo nyingine.. 3.5 Nissan na Porsche ni umesahau .3 ni 3.3.. Zina turbo.. Hivi hizi ni engine ndogo kweli sababu v8 ni 4.5..!!!?
Yaani Bill gates kupitwa net worth na Jeff unataka kusema Gates sio Tajiri..!!!
 
Sawa sawa ila Beamer ana exercise sana tunes! Mjapani huwa anaishi sana na Naturally aspirated engines.
Aisee Mjapani ndio tunes nyingi.. Sifa kubwa ya Bimmer ameijenga kwenye NA..
Kuna bonge engine ya Bimmer stori yake ipo hivi McLaren alienda kwa Mjapani Honda amtengenezee.. Wakashindwa.. BMW alipoiona requirement akasema leteni tufanye kazi.. Ikatoka legendary engine mpaka leo.. Imeshikilia rekodi ya fastest NA karibu karne 2..inaitwa S70.. Mwaka 1992..!
Engine ya BMW yenye turbo ameanza kwa N54.. Hii waniita Germany 2JZ..!
Ila Mjapani ameweka maturbo CT tangu kitambo..!
 
Aisee 2 seconds sio mchezo..yaani kufumba na kufumbua upo 100..Kuna kitu kwenye magari kinaitwa 2 seconds barrier.. Jaribu kufuatilia uone kwanini it's nearly impossible kuvunja hiyo barrier ya 2 seconds..!

Tesla uliyoitaja ina hp zaidi ya Buku 1,000+hp.. Engine kubwa.. Hakuna sedan inaweza pull 0-100 under 2 seconds..! Hata mbele iwe imechongoka kama sindano na nyepesi kama karatasi haiwezi..! Hata hiyo Tesla kuna special conditions..!

Uzito.. Aerodynamics.. Yes hizo ni sababu za gari kuchanganyana mapema.. Ila Engine ndio kila kitu..LC200 nzito karibu tani 3.. Ila moto wake unajulikana.. Ndio maana hata jina maarufu ni V8.. Sifa ya engine..!
Zipo mkuu. Kuna hii gari SSC ultimate aero
 
Aisee Mjapani ndio tunes nyingi.. Sifa kubwa ya Bimmer ameijenga kwenye NA..
Kuna bonge engine ya Bimmer stori yake ipo hivi McLaren alienda kwa Mjapani Honda amtengenezee.. Wakashindwa.. BMW alipoiona requirement akasema leteni tufanye kazi.. Ikatoka legendary engine mpaka leo.. Imeshikilia rekodi ya fastest NA karibu karne 2..inaitwa S70.. Mwaka 1992..!
Engine ya BMW yenye turbo ameanza kwa N54.. Hii waniita Germany 2JZ..!
Ila Mjapani ameweka maturbo CT tangu kitambo..!
Hamna bana we angalia production engines za mjapani nyingi ni N/A mzee! Fuatilia!

Yani ukiachana na hizo supra sjui na celica gari nyingi ni N/A 4’s na 6’s kama 1JZ na 2JZ kavu
 
Hamna bana we angalia production engines za mjapani nyingi ni N/A mzee! Fuatilia
Ok twende hivi.. Ulinitajia Toyota Celica GT4.. Naomba engine yake.. Then compare na Bimmer za mwaka miaka hiyo.. Ukikuta BMW walikuwa na petrol turboed engine yoyote kati ya mwaka 1986-2006 mimi nafunga huu uzi.!
 
Aisee mambo ya bumps tena..!!Rough road..!!Huko hata 1HZ inaweza kukupita..
Hapo ni highway.. Stretch ndefu tuu hakuna bumps na ni lami tupu..
Unaweza ukawa na mjerumani ila ukashindwa kumtumia.. Tupunguze kutengeneza mazingira ya visingizio..
Hapo sijatoa facts gari yangu ni ya zamani.. Model ya 1992.. Imeingia Tanzania wakati wa namba TZ*.. Ina registration ya namba AB za mwanzoni.. Lakini hata leo hii hizo V8.. Kama sio VX.. VXR.. Lazima nikuvute shati..!

Na hizi challange zimeanza siku hizi gari imepungua moto.. Kipindi hicho cha late 90s gari bado mbichi ilikuwa haishikiki..!
Funga 2jz mkuu uanzishe moto upya
 
Back
Top Bottom