Bimmer na Landcruiser V8

Usitaje chombo iyo kwenye nyuzi kama hizi mkuu utashitakiwaa. Cherokee Trackhawawk Jini kabixa
 
Haya mazoea ya kuona gari za kampuni moja nchini mwetu yanafanya watu wasiheshimu specs,hivi Lc V8 inaweza pambana na akina range rover,Bentley bentayga,x6,porsche cayenne...linapokuja suala speed?au kwa vile ina V8 kwa sisi tunaofuatilia specs hatushangai hiyo v8 kuzidiwa na ndugu yake mpya l300 V6.I salute toyota for producing durable vehicles.
 
AMG inakuwaje SUV?
 
Usitaje chombo iyo kwenye nyuzi kama hizi mkuu utashitakiwaa. Cherokee Trackhawawk Jini kabixa

Kuna video nmeangalia jana youtube jamaa alikuja na Ford Mustang yake halafu akaweka hela akataka warace na mtu mwenye Hiyo Track Hawk...

Kabla race haijaanza jamaa wa Jeep akamuonesha kidogo chuma yake inavyochomoka...

Mbona jamaa alianza kidai hela palepale...
 
Wewe hukuwa umegenaralize yote hato hayondo maana hata ulipojibu hukuwa umezingatia hayo.Sasa ndo akili imekurudia key board warrior
 
Kabisa mkuu. Shida ni kwamba, vijana wakishanunua bmw 1 series ya m15 baasi wanaona wamemaliza na kutaka sifa za kijinga za kujidanganya kujilinganisha na LC sababu sahani yake inasoma juu ya 180 na mlango ukiufungua ni mzito.
Ni kawaida kwa matajiri wetu wa kibongo kununua hizi 3-series zenye Bei sawasawa na IST na kuja kutamba mzee.
 
Kipimo kirahisi kabisa Cha durability za magari Ni angalia wakandarasi wakiwa field Ni GX ngapi unaona wanazitumia kwny kazi zao za kila siku vs hao hao wakandarasi wakienda field kila siku Ni Benz/BMW/Audi/Land Rover/Volvo ngapi/model gani hua unawaona nazo field.

Ukifanyika tena mkutano wa wakandarasi (CRB) nitakushtua uende kwny parking Yao ujionee magari Yao ni yapi,Ni full GX/VX/LC's na Wana uwezo wa kununua Gari yoyote Ile waitakayo kibongo bongo.Hizo RR,BMW,Benz hua wanaenda nazo church,harusini etc na sio field.Kisa Ni Nini? Durability.
 
Hv ni jf yangu tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…