Bimmer na Landcruiser V8

Asilimia wakandarasi bongo wamekalili mkuu, mie nina mwana field anatumia Land lovel discover 4, mie nilikuwa natumia ki audi sema nimekiua πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€, sasa hivi navuta Mjerumani mwingine ndio wa field wadau kibao wanatumia Amarok, sema bongo tumeishameza mzee mwenzangu, ile meeting ya mwanza nilikuwepo nilipuliza sana maeneo flani πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
hii coment yako imenifanya nisununue kabisa mjapan tena maisha yangu yote, na kuanzia leo field nitakuwa natumia mjerumani tu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mkuu Holy Man wanakutania huku aisee, eti wanafananisha Mjerumani na vitu vya kijinga..... 🀣
Wajapana watu wa ajabu sana, ulaya kabla ya kuwa na mazingira soft walikuwa wakitumia gari zao hadi nchi zao zimeendelea kufikia hapo, nchi zao hazikuwa na rami ghafla walikuwa kama sisi na gari walizo tumia ni hizo hizo zao, walikuwa na mazingira magumu kama yetu.. sema huku kwety watu tunajifichia kwenye machaka ya ukosefu wa pesa ila hakuna kama mjerumani πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Magari ya mzungu Yana heshima yake, Toyota afanye atakavyofanya ila BMW itabaki kuwa juu
 
Magari ya mzungu Yana heshima yake, Toyota afanye atakavyofanya ila BMW itabaki kuwa juu
Umemaliza na huu ndio ukweli, haitokaa Toyoda akaipiku BMW . Sema wapambe wa toyota wanakuwa wanalingamisha gari zisizo lingana mtu anakuja linganisha 3 Series na V8 Badala ya kulinganisha na BMW X5 M competition na hiyo V8 zao
 
Umemaliza na huu ndio ukweli, haitokaa Toyoda akaipiku BMW . Sema wapambe wa toyota wanakuwa wanalingamisha gari zisizo lingana mtu anakuja linganisha 3 Series na V8 Badala ya kulinganisha na BMW X5 M competition na hiyo V8 zao
Kwani aliyeanzisha hii mada ya kulinganisha 3-series vs V8 si Ni mjerumani mweusi mwenzenu au?
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ wakandarasi hawahawa walioanza shughuli zao from the bottom class 7 huko wakiwa na toroli tu,wakaja kumiliki Hilux roho ya paka/Mitsubishi l200 enzi hizo ikiitwa 'TZJ' mpk Sasa wapo huko kwny class 2 useme wamekariri?

Bahati mbaya au nzuri kila gari wanayoitaka Wana afford na Gari za kitozi wananunuliaga wake zao/michepuko Yao.Nenda tu hapo kwny SGR kaangalie Sub-Contractors wanatumia magari gani.Na hata waturuki wenyewe walipofanya leasing wamechukua Nissan,Toyota ndio zimejaa huko.Hakuna Ford/BMW/Mercedes/Audi/Volvo Wala nini.

Majuzi tulikua na mkutano mwingine Iringa huko,tuna wapuliza Kama kawa tu Maana ndio furaha yetu hela inapatikana kwa jasho.πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
3-series ipi asee mnafanisha na IST mbona mnatulosea adabu wajerumani ... hizi kama hizi ndio mnaringanisha na IST kweliii
View attachment 2023715View attachment 2023716
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ M-series ngapi umeziona bongo?

Bongo hapa zimejaa E-46 ambazo Bei zake Ni sawa na IST tu,ukija hapo Kwny E-90 zipo zipo kwa mbaali,F-series Ni za kuhesabu tu.Sasa weka M-version za hizo Gari ndio utakuta nchi nzima hata kumi hazifiki πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Aseee, πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Iringa niliona mbali sanaaa. Vipulizio vya huko iringa pia havikunichochea sana kuja kuvipulizaa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.. Bongo watu wana ugonjwa wa Toyota na Nissan ... kidogo sasa hivi tunahamaia Amarok kama gari za field mdogo mdogo tutabadirisha mfumo .. Wakandarasi na V8 wanataka heshima, leo unaweza paki pale kabisa GLE AMG 63 na mwingine na Harrier tako la nyani au V8 wewe mwenye GLE wakakufanisha na kigari kitoto
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Na Kuna mikoa hapa bongo hata ukienda na Audi RS6 mwingine akaja na tako la nyani mwenye tako la nyani ataheshimika Saana maana wao wanajuaga Gari ya juu Ni superior kuliko Gari ya chini πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…