Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
3-series ipi asee mnafanisha na IST mbona mnatulosea adabu wajerumani ... hizi kama hizi ndio mnaringanisha na IST kweliiiNi kawaida kwa matajiri wetu wa kibongo kununua hizi 3-series zenye Bei sawasawa na IST na kuja kutamba mzee.