Bimmer na Landcruiser V8

Bimmer na Landcruiser V8

Cc haziamui urefu wa maisha ya engine....

Angalia hiyo video jamaa ndio alikuwa anafikisha 500000Km na VW Golf 1.6 TDI...

Na gari anasema bado kabisaaa yaani mfano kama Turbo na DPF bado ni zile zilizokuja na gari...

Tena hiyo ni engine ya Kisasa, siyo zile za kizamani. Gari ya 2009 hiyo.

Halafu soma na comment za watu. Kuna mtu kasema hapo ana gari ina Cc1300 halafu ina turbo na ina zaidi ya 400000Km.

Hizo video zipo nyingi sana mtandaoni.

Hapo unasemaje?

Hio ni diesel nafikiri una zid prove mwenyewe 😁😁 na mwenye body kama hilo engne kubwa akiitunza kama huyo utaona mileage inaenda milion
 
Toyota 3F..!
Mkuu naongezea 3F zipo kibao hapa bongo zilizofika 500,000km kwenye Land Cruiser series 60, Kuna 2Y hii IPO kwenye Toyota Stout na zinapiga Kazi mpaka leo.

1G Kavu na 3S za kwenye Toyota Cresta/Cressida/Mark 2/Chaser uzao wa Gr70/Gr80, Chaser box na mayai Kuna ambazo zimezidi 500km na ni petrol 1G na wengine wanazo zenye 1G-T na 1G Super Charged zimekula km mpk dash board hazisomi.
 
Aisee cc zinaamua urefu wa engine.. 500000kms ni impressive.. Bigger engine itafanya 1M..!
Hiyo engine kubwa yenye 1M ipo wapi?

Maisha marefu ya engine hayaendani na cc ila jinsi unavyoitunza.

CC 5700 ukiitunza vibaya inakufia na cc 1300 ukiitunza vizuri itaendelea kudumu mpaka hilo body life.
 
Hio ni diesel nafikiri una zid prove mwenyewe 😁😁 na mwenye body kama hilo engne kubwa akiitunza kama huyo utaona mileage inaenda milion

Kwani point yangu ilikuwa ni nn?

Size ya engine haichangii lifespan ya engine.

Ila aina ya engine ndio inachangia lifespan ya engine... petrol au diesel
 
Rpms hazikuwa captured.. Camera man amekaa kushoto.. Rpms zipo kulia.. Ingekuwa dashboard kati kama Rumion ungeziona..!
kuna mambo ya msingi sana watu wanakosea wakati wa kulinganisha magari
Mfano: Landcruiser family, hayajatengenezwa kwa ajili ya high speed; yale yamezingatia Uimara, stability, usalama na na kwa kiasi comfortability
Ina maana ukitaka kulinganisha magari ni lazima uzingatie yafuatayo
1. Yapo magari kwa ajili ya mwendo kasi na haya ni kuanzia angalau 240kms kwa saa na kuendedlea
2. Yapo magari kwa ajili ya luxury, ukiingia ndani utafkiri haupo duniani
3. yapo magari yametengenezwa kwa usalama wa hali ya juu; likipata ajali lilinde waliopo ndani hata likivingirika nk nk
4. Yapo magari ya watu wa kawaida na haya ni km 140 - 180 hivi ( kuanzia passo, ist, rav 4 , Extrail, vitara, most land cruises nk)

Muhimu zaidi ni muendeshaji wa hilo gari
Mf: Kuna madereva wachache sana wanaweza kuendesha gari km 200kwa saa na kuendelea
Sasa wewe ukiendesha Landcruiser V8 km 160 ukakaipita Jaquar XJ 2.0T unakuja kujisifia hapa kuwa V8 inakimbia.
Kumbe hiyo jaquar kama inaendesha na dereva sahihi, anaweza kuipita hiyo V8 kwa karibia marambil ya hiyo speed
 
Hiyo engine kubwa yenye 1M ipo wapi?

Maisha marefu ya engine hayaendani na cc ila jinsi unavyoitunza.

CC 5700 ukiitunza vibaya inakufia na cc 1300 ukiitunza vizuri itaendelea kudumu mpaka hilo body life.
Aisee mbona ngumu kuelewa vitu vyepesi hivi.. Ukishawahi kumiliki Lorry utazoea hizo kilometers kuwa ni chache sana..!
Yaani gari ndogo iwe economical na pia ilast longer zaidi ya mashine kubwa!!!?
Haya tazama mwenyewe then urudi umejifunza kitu..!
_20211205_102941.JPG
 
Mkuu naongezea 3F zipo kibao hapa bongo zilizofika 500,000km kwenye Land Cruiser series 60, Kuna 2Y hii IPO kwenye Toyota Stout na zinapiga Kazi mpaka leo.

1G Kavu na 3S za kwenye Toyota Cresta/Cressida/Mark 2/Chaser uzao wa Gr70/Gr80, Chaser box na mayai Kuna ambazo zimezidi 500km na ni petrol 1G na wengine wanazo zenye 1G-T na 1G Super Charged zimekula km mpk dash board hazisomi.
Sure aisee.. Then thing ni watu ukitaja petrol wanawaza engines za piston 3.. Hizo engines za Y kuna 22R..ni vile watu wabahili kununua mafuta.. Ila 3F kwenye Landcruiser ina moto hatari.. Na little maintance..!
 
Sikilizeni.

Engine kuwa na maisha marefu haihusiani kabisa kuwa na ukubwa au udogo wa engine.

By default engine za diesel zina maisha marefu kuliko engine za petrol.

Diesel ni light oil wakati petrol ni detergent.

Kwa maana hiyo diesel inalubricate engine hivyo engine na maisha marefu wakati petrol inawash away oil kutoka kwenye engine hivyo kuzidisha wear and tear.

Swala la engine ndogo kutoa HP has nothing to do with life time ya engine. Hivo.
Aisee matango pori Sasa haya.
 
kuna mambo ya msingi sana watu wanakosea wakati wa kulinganisha magari
Mfano: Landcruiser family, hayajatengenezwa kwa ajili ya high speed; yale yamezingatia Uimara, stability, usalama na na kwa kiasi comfortability
Ina maana ukitaka kulinganisha magari ni lazima uzingatie yafuatayo
1. Yapo magari kwa ajili ya mwendo kasi na haya ni kuanzia angalau 240kms kwa saa na kuendedlea
2. Yapo magari kwa ajili ya luxury, ukiingia ndani utafkiri haupo duniani
3. yapo magari yametengenezwa kwa usalama wa hali ya juu; likipata ajali lilinde waliopo ndani hata likivingirika nk nk
4. Yapo magari ya watu wa kawaida na haya ni km 140 - 180 hivi ( kuanzia passo, ist, rav 4 , most land cruises nk)

Muhimu zaidi ni muendeshaji wa hilo gari
Mf: Kuna madereva wachache sana wanaweza kuendesha gari km 200kwa saa na kuendelea
Sasa wewe ukiendesha Landcruiser V8 km 160 ukakaipita Jaquar XJ 2.0T unakuja kujisifia hapa kuwa V8 inakimbia.
Kumbe hiyo jaquar kama inaendesha na dereva sahihi, anaweza kuipita hiyo V8 kwa karibia marambil ya hiyo speed
Aisee umeanza kusema Landcruiser haijatengenezwa kwa spidi..
Then umesema 1. Magari 240+ ni mwendo kasi..
Sasa Landcruiser ipo hapo kwenye category ya 240+.. Je mwendo kasi na spidi ni vitu viwili tofauti..!!?

Hii comparison ni ya Landcruiser 200..
Maana hizo nyingine ni way out of league ya mbio kwa mjerumani..!
Siwezi kui-overtake Mkonga then nikarekodi video.. Sababu hiyo gari ni weak..
 
Aisee mbona ngumu kuelewa vitu vyepesi hivi.. Ukishawahi kumiliki Lorry utazoea hizo kilometers kuwa ni chache sana..!
Yaani gari ndogo iwe economical na pia ilast longer zaidi ya mashine kubwa!!!?
Haya tazama mwenyewe then urudi umejifunza kitu..! View attachment 2033456
Nilidhani hii ni league ya gari ndogo kumbe hata malori?

1. Engine design ya trucks si sawa na gari ndogo...

2. Hiyo imelast longer sababu ni diesel.
 
Aisee bado hujapata point.. Nilisema engine kubwa zina last longer.. Na kuna engine gari mtumba ina Million Kilometers.. Mtu akakataa.. Then ndio nikafanya kumuonesha..!

Sasa turudi kwako.. Unasema engines za gari kubwa na ndogo design sio sawa..!!!? Naomba unielezee utofauti wa internal combustion engine ya sedan na lorry..!!
 
Kwani point yangu ilikuwa ni nn?

Size ya engine haichangii lifespan ya engine.

Ila aina ya engine ndio inachangia lifespan ya engine... petrol au diesel
Kichwa chako ni kibovu sana ....kwan wakati tuna compare 2l TDI ya audi na 1hd zote si diesel ?? Ila tumekwambia hio output from 2l engine haina maisha marefu kama 4.2L unachokataa ni nini sasa
 
Aisee mbona ngumu kuelewa vitu vyepesi hivi.. Ukishawahi kumiliki Lorry utazoea hizo kilometers kuwa ni chache sana..!
Yaani gari ndogo iwe economical na pia ilast longer zaidi ya mashine kubwa!!!?
Haya tazama mwenyewe then urudi umejifunza kitu..! View attachment 2033456
Huyo atasema hizo kilometa ni za uongo...😁
 
Ishu sio HD yenye kilometers hizo.. Point yetu ni gari yenye engine kubwa ina span kubwa kuliko gari ya engine ndogo.. Hatulinganishi diesel vs petrol..

Umesema kinachomaliza engines ni wear n tear.. Very correct.. Wear n tear inatokea kwenye movements za pistons against block walls.. Sasa engine ndogo itabidi irev zaidi ya engine kubwa ili kupata same output.. Eventually engine ndogo itawear mapema zaidi..!
 
Aisee mbona ngumu kuelewa vitu vyepesi hivi.. Ukishawahi kumiliki Lorry utazoea hizo kilometers kuwa ni chache sana..!
Yaani gari ndogo iwe economical na pia ilast longer zaidi ya mashine kubwa!!!?
Haya tazama mwenyewe then urudi umejifunza kitu..! View attachment 2033456
Inaweza ikawa typing error kwemye hizo km. Gari yenyewe ya Singapore hiyo usiwaamini kwa lolote
 
Aisee mbona ngumu kuelewa vitu vyepesi hivi.. Ukishawahi kumiliki Lorry utazoea hizo kilometers kuwa ni chache sana..!
Yaani gari ndogo iwe economical na pia ilast longer zaidi ya mashine kubwa!!!?
Haya tazama mwenyewe then urudi umejifunza kitu..! View attachment 2033456
Tunaongelea LC200 vs BMW wewe unaleta mambo ya Scania. Kichwa chako kigumu kuelewa? Huyo mwenzako ameleta story za Golf yenye 500k. Yako yenye 1M ipo wapi?

Bus za Kilimanjaro zile za namba A zina km zaidi ya 1M. Scania zinazoenda nje ya nchi ndani ya 10 yrs lazima zivuke 1.5M. Najua hilo.

Onyesha hizo engine za LC200 zenye 1M.
 
ADSKFJHLA..!!!
Aisee yaani bado unaonesha ugumu kuelewa..!
LC200 vs BMW- mbio...!!
Smaller engine vs Bigger engine- life span..!!
Wapi nimesema kuna LC200 ya hizo kms!!? Mimi naongelea engine kubwa ina maisha marefu.. Sasa naona mnaanza kuweka limits..Halafu kitu kama wewe hujui kitu sio kwamba hakipo... Kuna Tundra.. Kuna 70 series kuna 80 series ambazo zimeclock zaidi ya 1M kms..!!!

Naona mnakimbia kuswitch aina za magari badala ya kubase kwenye point ya msingi cc nyingi gari inaishi muda mrefu..!
Nimeuliza swali kakimbia.. Tofauti ya internal combustion engine ya sedan na scania ni ipi..!!!

Aisee na huu ndio mfano wako..!!! CC 5700 ukiitunza vibaya inakufia na cc 1300 ukiitunza vizuri itaendelea kudumu mpaka hilo body life... Kwahiyo moja ukizitunza zote vizuri zitadumu sawa!!!?
Suzuki Jimmy ya 660cc iwe na maisha sawa na 1300cc...!!!
Passo ya piston 3 iwe maisha sawa na ya piston 4..!!!
Nissan patrol y61 ya 3.0 iwe na maisha sawa na 4.2..!!!
Bmw e361.6lts iwe na maisha sawa na 2.5lts..!!
Aisee inabidi upgrade game yako ya magari.. Fanya research zaidi au uwe unaulizia tunakupa maelekezo..!!!
 
Kuna gari ina 2000cc namba ADK ni nzima na kuna gari 4500cc ipo juu ya mawe. Na kuna gari nyingi tu za namba A na B zinadunda mitaani, kwanini hazijafa?

Usipotunza gari yako kama inavyotakiwa hata iwe na cc 13,000 lazima ife.

Ukizitunza zote lazima zitadumu mpaka either body ife au uamue kuiuza scrapper.

Nini kinafanya engine ya 900cc inayotunzwa vile inavyotakiwa ife? Yani unaamka asubuhi gari imejifia tu? Kuna gari namba D engine imeshaanza kukongoroka na ingine namba B engine bado inadai. Zote 2500cc.

Kuna huyo alifikisha 500k kwenye 1.6l engine. Hiyo ni engine kubwa?

BTW, kukariri engine codes hakukufanyi uwe mtabe, experience na simple reasoning inaweza ikakushinda vilevile.
 
Back
Top Bottom