Cc haziamui urefu wa maisha ya engine....
Angalia hiyo video jamaa ndio alikuwa anafikisha 500000Km na VW Golf 1.6 TDI...
Na gari anasema bado kabisaaa yaani mfano kama Turbo na DPF bado ni zile zilizokuja na gari...
Tena hiyo ni engine ya Kisasa, siyo zile za kizamani. Gari ya 2009 hiyo.
Halafu soma na comment za watu. Kuna mtu kasema hapo ana gari ina Cc1300 halafu ina turbo na ina zaidi ya 400000Km.
Hizo video zipo nyingi sana mtandaoni.
Hapo unasemaje?
Hio ni diesel nafikiri una zid prove mwenyewe 😁😁 na mwenye body kama hilo engne kubwa akiitunza kama huyo utaona mileage inaenda milion