Bin Kazumari: Simba wascreenshoot msimamo wa ligue

Bin Kazumari: Simba wascreenshoot msimamo wa ligue

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Ameandika @jemedarisaid

MZAHA USIOUDHI.

Msimu uliopita niliandika MZAHA USIOUDHI nikawaambia watu wa Mnyama kupiga picha na msimamo manake huenda isingetokea tena, watu wakaja na matusi wakadhani ni masihara.

Mwaka huu naona imejirudia tena, Mnyama yuko kileleni kamakawa, nimeangalia mechi kadhaa za ligi kuu, nimeangalia Gongowazi jana, nasemajee , ushauri ni uleule, kama kuna uwezo na muda ni bora pigeni picha na msimamo.

Timu kama KMC naziona sana kwenye ligi ikiwemo Mtibwa na Dodoma Jiji ambazo zimecheza na Mnyama, mechi ijayo tarehe 29 ni dhidi ya JKT Tanzania.

KMC walipoteana Gongowazi wakawa wanacheza kama PLAY STATION tu daadeki zao, MaquizDuZaire kabisa.

BIN KAZUMARI (The voice of the voiceless)

NB: Je hii Ina maanisha Nini ..... mbona mapema sana
1680076140560.jpg
 
Simba bila kucheza mechi za Yanga isahau ubingwa. Nililisema hili nikaambiwa mi siyo mshabiki wa kweli wa Simba. Jana KMC hawakupiga shuti hata moja langoni mwa Yanga, on target wala off target
Walipiga Makang'a Metacha akaidaka katikati ya miguu anyway uchezaji wa yanga wa Jana ni statement kubwa sana kwenye ligi kuu
 
Huyo ni ndugu yenu. Hivyo muwe tu wapole, na mumvumilie. Sidhani kama kuna shabiki wa Yanga mwenye akili timamu, anaweza kumuunga mkono huyo Bin Kazumari wenu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewee tenaaa, kwamba hapo hajakufurahishaa.
 
Simba bila kucheza mechi za Yanga isahau ubingwa. Nililisema hili nikaambiwa mi siyo mshabiki wa kweli wa Simba. Jana KMC hawakupiga shuti hata moja langoni mwa Yanga, on target wala off target
Ha haaa
 
Kwa ukuta wa yanga kama ni ulinzi basi ni ulinzi wa Joe Biden … kwan makolo fainal walipiga on target ngap ?
Simba kumfunga tena Yanga msimu huu uwezekano upo na ni mkubwa hasa kama wataacha ujinga wa kupanga kikosi kwa mazoea ila sioni timu nyingine inaweza kuifunga Yanga na hapa naongelea kwa uwezo wa uwanjani na pia kwa mbinu za nje ya uwanja.
 
Back
Top Bottom