Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Ameandika @jemedarisaid
MZAHA USIOUDHI.
Msimu uliopita niliandika MZAHA USIOUDHI nikawaambia watu wa Mnyama kupiga picha na msimamo manake huenda isingetokea tena, watu wakaja na matusi wakadhani ni masihara.
Mwaka huu naona imejirudia tena, Mnyama yuko kileleni kamakawa, nimeangalia mechi kadhaa za ligi kuu, nimeangalia Gongowazi jana, nasemajee , ushauri ni uleule, kama kuna uwezo na muda ni bora pigeni picha na msimamo.
Timu kama KMC naziona sana kwenye ligi ikiwemo Mtibwa na Dodoma Jiji ambazo zimecheza na Mnyama, mechi ijayo tarehe 29 ni dhidi ya JKT Tanzania.
KMC walipoteana Gongowazi wakawa wanacheza kama PLAY STATION tu daadeki zao, MaquizDuZaire kabisa.
BIN KAZUMARI (The voice of the voiceless)
NB: Je hii Ina maanisha Nini ..... mbona mapema sana