HadithiZaRuvuly
JF-Expert Member
- Apr 16, 2014
- 369
- 114
- Thread starter
- #41
Vizur mkuuuTulidanganywa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vizur mkuuuTulidanganywa
Tunaongelea sayansi wewe unaleta porojo za Mzee wa upako.. kwanza mambo ya akina Adam yanajachanganya..soma vizuri kuhusu watoto wa hao akina adam walivyozaliana ndipo utajuta kwamba ni porojo.. yaani wakiwa nani wakati hakukuwa na kizazi kingine...[emoji102] vipi kuhusu Adam Na hawa .? Inaonekana wewe mjuwaji Sana .!
Tunaongelea sayansi wewe unaleta porojo za Mzee wa upako.. kwanza mambo ya akina Adam yanajichanganya ..soma vizuri kuhusu watoto wa hao akina adam walivyozaliana ndipo utajua kwamba ni porojo.. yaani wazaa na akina nani wakati hakukuwa na kizazi kingine...
nguruwena sokwe katokana na nani..............?
Asante mpenz wnguDah nipo busy kinoma my dear...ila nitakutafuta kutimiza nilichokuahidi.
Vitabu vyote shuleni vinathibitisha hilo kwamba sisi binadamu tumetokana na sokwe je maneno haya ni kweli ?
![]()
Tunaongelea sayansi wewe unaleta porojo za Mzee wa upako.. kwanza mambo ya akina Adam yanajachanganya..soma vizuri kuhusu watoto wa hao akina adam walivyozaliana ndipo utajuta kwamba ni porojo.. yaani wakiwa nani wakati hakukuwa na kizazi kingine...
Hapo sasaKama tumetokana na sokwe mbona sokwe bado wapo
Sio vitabu vyote.... cha kiswahili, chemistry haviesemi hivyo.Vitabu vyote shuleni vinathibitisha hilo kwamba sisi binadamu tumetokana na sokwe je maneno haya ni kweli ?
![]()
Huo mnauona uongo ila huu mwingine ndio mnaukumbatia na mapovu yanawatoka.Wazungu na uwongo wao. ..dah!
.Huo mnauona uongo ila huu mwingine ndio mnaukumbatia na mapovu yanawatoka.
.Huo mnauona uongo ila huu mwingine ndio mnaukumbatia na mapovu yanawatoka.
Mbona hamuweki machapisho ya hivyo mlivyofundishwa?? Embu wekeni hiyo article hapa na sio kutafsiri.... enzi zile tulikuwa tunakariri, embu tukumbushieni huo uongo basi kwa kutuwekea sehemu ya hicho kitabu.Historia tunayofundishwa shuleni mambo mengi sana ni uongo, ukianzia na hili la kuwa sokwe wakati tunajua fika sokwe sio babu yetu.
--cha ajabu wazungu wao hawajatokana na sokwe kwa sababu hakuna sokwe wa kizungu.
Hii reasoning unayoitumia hapa mkuu ungeitumia kwenye imani yako ya dini, ungekuwa ni mtu mwingine kabisa.1.Ukiwa unaandika kitu kabla ya ku post kisome ili kama kuna sehemu umekosea urekebishe acha haraka
2.Unapokuja kupinga kitu ambacho kimejibiwa na mtu angalia kauliza vile kwa nini usipende kukurupuka
3.huna uwezo wa kunifundisha lolote kuhusiana na chanzo cha binadamu ni wapi.. Naona umedandia gari kwa mbele.
4. Nani kakudanganya kuwa wewe ulikuwa nyani .mbona wapo kibao porini huko au lini watabadilika nakuwa binadamu
5.ulikuwa hujuwi kuwa dini inasema Chanzo cha binadamu ni kuubwa kwa adamu na hawa/upande wa pili sayansi ina tudanganya kuwa wewe ni nyani ila sio mimi•