Binadam katokana na Sokwe

Binadam katokana na Sokwe

[emoji102] vipi kuhusu Adam Na hawa .? Inaonekana wewe mjuwaji Sana .!
Tunaongelea sayansi wewe unaleta porojo za Mzee wa upako.. kwanza mambo ya akina Adam yanajachanganya..soma vizuri kuhusu watoto wa hao akina adam walivyozaliana ndipo utajuta kwamba ni porojo.. yaani wakiwa nani wakati hakukuwa na kizazi kingine...
 
Tunaongelea sayansi wewe unaleta porojo za Mzee wa upako.. kwanza mambo ya akina Adam yanajichanganya ..soma vizuri kuhusu watoto wa hao akina adam walivyozaliana ndipo utajua kwamba ni porojo.. yaani wazaa na akina nani wakati hakukuwa na kizazi kingine...
 
Kama hata siku hizi Sokwe anabadilika kuwa mtu ni kweli,vinginevyo kama habadiliki ni utapeli,heresy na upuuzi.

Wanadamu inabidi tuwe makini sana.Elimu hizi zinazoitwa elimu kumbe hata sio elimu ni udanganyifu, zimeingizwa kwa siri ili kututenganisha na Mungu wetu.Hata mjinga anajua kwamba Sokwe habadiliki kuwa mtu.Tutadanganywaje kiurahisi hivyo?Mtu mwenye akili timamu utaaminije upuuzi huo.Katika kitabu cha Mwanzo 1:27 tunasoma maneno haya,"Mungu akaumba mtu kwa mfano wake,kwa mfano wa Mungu alimwumba,mwanamume na mwanamke aliwaumba." The Bible couldn't be clearer.Mwanadamu aliumbwa na Mungu akiwa kama mwanadamu,sio kitu kingine.Elimu nyingine kinyume na hii ina nia mbaya,ni lazima tuikatae kwa nguvu zetu zote.It is demonic.
Vitabu vyote shuleni vinathibitisha hilo kwamba sisi binadamu tumetokana na sokwe je maneno haya ni kweli ?
f96586e475f7f75750a3a315812beb19.jpg
 
Tunaongelea sayansi wewe unaleta porojo za Mzee wa upako.. kwanza mambo ya akina Adam yanajachanganya..soma vizuri kuhusu watoto wa hao akina adam walivyozaliana ndipo utajuta kwamba ni porojo.. yaani wakiwa nani wakati hakukuwa na kizazi kingine...

1.Ukiwa unaandika kitu kabla ya ku post kisome ili kama kuna sehemu umekosea urekebishe acha haraka

2.Unapokuja kupinga kitu ambacho kimejibiwa na mtu angalia kauliza vile kwa nini usipende kukurupuka

3.huna uwezo wa kunifundisha lolote kuhusiana na chanzo cha binadamu ni wapi.. Naona umedandia gari kwa mbele.

4. Nani kakudanganya kuwa wewe ulikuwa nyani .mbona wapo kibao porini huko au lini watabadilika nakuwa binadamu

5.ulikuwa hujuwi kuwa dini inasema Chanzo cha binadamu ni kuubwa kwa adamu na hawa/upande wa pili sayansi ina tudanganya kuwa wewe ni nyani ila sio mimi•
 
Vitabu vyote shuleni vinathibitisha hilo kwamba sisi binadamu tumetokana na sokwe je maneno haya ni kweli ?
f96586e475f7f75750a3a315812beb19.jpg
Sio vitabu vyote.... cha kiswahili, chemistry haviesemi hivyo.
 
Historia tunayofundishwa shuleni mambo mengi sana ni uongo, ukianzia na hili la kuwa sokwe wakati tunajua fika sokwe sio babu yetu.
--cha ajabu wazungu wao hawajatokana na sokwe kwa sababu hakuna sokwe wa kizungu.
Mbona hamuweki machapisho ya hivyo mlivyofundishwa?? Embu wekeni hiyo article hapa na sio kutafsiri.... enzi zile tulikuwa tunakariri, embu tukumbushieni huo uongo basi kwa kutuwekea sehemu ya hicho kitabu.
 
1.Ukiwa unaandika kitu kabla ya ku post kisome ili kama kuna sehemu umekosea urekebishe acha haraka

2.Unapokuja kupinga kitu ambacho kimejibiwa na mtu angalia kauliza vile kwa nini usipende kukurupuka

3.huna uwezo wa kunifundisha lolote kuhusiana na chanzo cha binadamu ni wapi.. Naona umedandia gari kwa mbele.

4. Nani kakudanganya kuwa wewe ulikuwa nyani .mbona wapo kibao porini huko au lini watabadilika nakuwa binadamu

5.ulikuwa hujuwi kuwa dini inasema Chanzo cha binadamu ni kuubwa kwa adamu na hawa/upande wa pili sayansi ina tudanganya kuwa wewe ni nyani ila sio mimi•
Hii reasoning unayoitumia hapa mkuu ungeitumia kwenye imani yako ya dini, ungekuwa ni mtu mwingine kabisa.

Unachojiuliza wewe hapa na mimi najiuliza hicho hicho ila mimi sichagui najiuliza sehemu zote za kiimani na kisayansi.
 
Back
Top Bottom