BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Amou Haji aliyetajwa na vyombo vya habari kuwa "mtu mchafu zaidi duniani" amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 94, ikiwa ni miezi michache tu baada ya kunawa kwa mara ya kwanza katika miongo kadhaa.
Amou alikuwa amekataa kutumia sabuni na maji kwa zaidi ya nusu karne, akihofia ingemfanya mgonjwa.
Raia huyo wa Iran, ambaye aliishi katika jimbo la kusini la Fars, aliepuka majaribio ya hapo awali ya wanakijiji kutaka kumsafisha.
Kwa mujibu wa shirika la habari la IRNA la Iran, aliugua muda mfupi na baadaye ufariki siku ya Jumapili.
==========================
In a previous interview, given to the Tehran Times in 2014, he revealed his favorite meal was porcupine, and that he lived between a hole in the ground and a brick shack built by concerned neighbors in the village of Dejgah.
He told the outlet at the time his unusual choices were down to "emotional setbacks" when he was younger.
Years of not bathing had left him with skin covered in "soot and pus", IRNA said, while his diet had consisted of rotten meat and unsanitary water drunk from an old oil can.
He was also fond of smoking, being pictured on at least one occasion puffing on more than one cigarette at once.
Attempts to bathe him, or offer him clean water to drink, made him sad, the news agency said.
However, whether he holds the record for having gone the longest without taking a bath has been a matter of some debate. Back in 2009, there were reports of an Indian man who had - at that point - not washed or brushed his teeth for 35 years. What had happened to him since was not immediately clear.
BBC