Binadamu ambaye hajaoga kwa miaka 50 afariki akiwa na miaka 94

Binadamu ambaye hajaoga kwa miaka 50 afariki akiwa na miaka 94

Hakuna mistake kubwa aliyofanya Amou kama kukubali kunawa
 
Huyu endapo angeoga, angeishia tu kuichafua sabuni...
[emoji38] [emoji23] [emoji38]

Ila Wahindi nao kiboko walivyoona hii Habari nao eti wakamtoa mhindi ambae hakupiga mswaki kwa miaka 35 mfululizo
Sijui yalikuwa mashindano
 
Back
Top Bottom