Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Daa mzee kaenda
Nakumbuka Habari yake ili trend sana duniani
Atakumbukwa kuwa aligoma kuoga na kafikisha umri wa malkia aliekuwa anaoga kila siku na wamekufa umri mmoja
Naacha kuoga kuanzia leo