Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Mtu haogi, ngozi haipumuiHalafu linavuta sigara nne kwa mara moja..
Ndo mnavyodanganyanajamaa kafanya dhambi ya kipumbavu, yupo motoni anashikishwa adabu kwanini ni mchafu
Huyo mzee nae alikuwa hajitambui, mtu mzima anakuwa haogi, je akialikwa kwenye sherehe inakuwaje sasa?!Mtu haogi, ngozi haipumui
Jasho linatokaje na wakati vinyweleo vimeziba uchafu
Anaogopa sabuni ila haogopi sigara!
Kwa hiki ulichoandika hapa kimedhihirisha wewe kijana ndie hujitambuiHuyo mzee nae alikuwa hajitambui, mtu mzima anakuwa haogi, je akialikwa kwenye sherehe inakuwaje sasa?!
Maajabu hayaishi Mkuu..Huyo mzee nae alikuwa hajitambui, mtu mzima anakuwa haogi, je akialikwa kwenye sherehe inakuwaje sasa?!
Kwa nini Queen?!, mtu utaenda kwenye sherehe bila kuoga? Wewe unaweza?Kwa hiki ulichoandika hapa kimedhihirisha wewe kijana ndie hujitambui
Daaah, nimemuuliza mkuu mmoja hapo juu, imagine ndio amekuja kwenu sasa ameng'ang'ania awe mchumba wako, utafanyaje Anne?Maajabu hayaishi Mkuu..
Achana na sherehe,Yeye mwenyewe binafsi sijui aliwezaje kuvumilia harufu ya uchafu.
Iran ni nchi ya kimaskini sana.Huyu hapa mwamba wa Dunia...View attachment 2397772View attachment 2397773
Ukivigawa vinaendana mkuuSasa Mkuu mwezi mmoja na miaka 50 vinaendana kweli!!?
Kuna wana wanaoga daily ila vikwapa noise noma kama lote balaa lakeHarufu ya kikwapa chake ni kama Cocaine , ukinusa unapoteza fahamu
Buda kuoga tumefundishwa juzi tu na wakoloni. Njoo huku uone wana kuoga oga sio subject yaani.Huyo mzee nae alikuwa hajitambui, mtu mzima anakuwa haogi, je akialikwa kwenye sherehe inakuwaje sasa?!
Nilikutana na mwamba mmoja Senta Maria kule Katavi, jamaa ni mweusi kama mkaa, yeye na mkewe, nikaambiwa mwana anakaribia mwaka wa 5 bila kuoga, kama alivyoelekezwa na mganga.Buda kuoga tumefundishwa juzi tu na wakoloni. Njoo huku uone wana kuoga oga sio subject yaani.
Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
Hata nvua hajanyeshewa??Nilikutana na mwamba mmoja Senta Maria kule Katavi, jamaa ni mweusi kama mkaa, yeye na mkewe, nikaambiwa mwana anakaribia mwaka wa 5 bila kuoga, kama alivyoelekezwa na mganga.