Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
Tunapenda sana ushabiki ila bila kufahamu tunachokishabikia kina faida zipi na hasara zipi. Tuko na Watanzania ndezi wengi sana kila kitu kinaonekana ni bora. Any way...
Tunalia na ajira kwa kiwango kikubwa kwasasa na bado robot sio nyingi nchini Tanzania je¡ zikishika atamu hali itakuwaje na asilimia ya wabongo wengi wanawaza kuajiliwa na sio kujiajiri.
Tanzania tunawatumwa wengi na wengi wao ndo hao wanaosema wamesoma sijui wamesoma nini? kulipwa 10m mshahara we nikapuku... baada ya kustaafu mnakufa na presha. Acha ubishi jifunze, acha utumwa.
Maoni ya Mwanajukwaa

Kama technology itatupatia nyumba za bure na chakula cha bure, naona ije tuu na hizo kazi za kuajiriwa zipotee tuu, maana sasa hivi 99% ya watu duniani wanafanya kazi ili wale na kupata sehemu za kulala, na kama technology haitaweza kutuletea chakula na nyumba za bure basi binadamu itabidi tuendelee kuingia chimbo ili tuishi