Binadamu anaenda kukosa ajira kabisa kwakuwa teknolojia imetawala, kama uwepo wa maroboti

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
Tunapenda sana ushabiki ila bila kufahamu tunachokishabikia kina faida zipi na hasara zipi. Tuko na Watanzania ndezi wengi sana kila kitu kinaonekana ni bora. Any way...

Tunalia na ajira kwa kiwango kikubwa kwasasa na bado robot sio nyingi nchini Tanzania jeΒ‘ zikishika atamu hali itakuwaje na asilimia ya wabongo wengi wanawaza kuajiliwa na sio kujiajiri.

Tanzania tunawatumwa wengi na wengi wao ndo hao wanaosema wamesoma sijui wamesoma nini? kulipwa 10m mshahara we nikapuku... baada ya kustaafu mnakufa na presha. Acha ubishi jifunze, acha utumwa.

Maoni ya Mwanajukwaa
 
Inaonekana hupendi mambo ya teknolojia weye πŸ˜‚πŸ˜‚

Inaonekana hujui sababu za kukua kwa teknolojia kijana 😁

Jitahidi uzikwepe hizi hazipo kwaajili yakoπŸ˜‚
 
Inaonekana hupendi mambo ya teknolojia weye πŸ˜‚πŸ˜‚

Inaonekana hujui sababu za kukua kwa teknolojia kijana 😁
sio kwamba sipendi technology, make mpaka sasa natumia technology . Elewa hoja kijana
 
sio kwamba sipendi technology, make mpaka sasa natumia technology . Elewa hoja kijana
Nimeelewa vizuri na naelewa fika ukuaji wa teknolojia impact yake kwenye ajira inaweza kuwa Negative

Sasa unatoa solution gani?
Tuache kutumia hizi teknolojia? Tusizishobokee? Au tufanyaje?

Maana hoja yako haionekani zaidi ya kulalama tu hapo 😁
 


 
Kama technology itatupatia nyumba za bure na chakula cha bure, naona ije tuu na hizo kazi za kuajiriwa zipotee tu, maana sasa hivi 99% ya watu duniani wanafanya kazi ili wale na kupata sehemu za kulala, na kama technology haitaweza kutuletea chakula na nyumba za bure basi binadamu itabidi tuendelee kuingia chimbo ili tuishi
 
#hakika
 
Kama hutataka kukifunza kuhusu tecknolonia mpya, wale wanaojifunza ndio watachukua nafasi yako na sio robot kama unavyodai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…