Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
Binadamu ni kiumbe wa pekee ulimwenguni anayeyatawala mambo yote yasiyoonekana na yanayooneka, mimi huamini binadamu ni kiumbe na muumbaji, kwangu Mungu ni dhana tu.
Binadamu anaouwezo wa kukata uhai wake bila kutumia zana,kuugua,sumu ama chochote kile chenye kudhuru mwili hata kufa.
Kwakutumia akili yake tu anauwezo wakukiita/kukikaribisha kifo na kikamfika ndani ya masaa yasiyozidi 24, Zingatia kwakutumia "akili" yake tu, sio elimu yake. Fikra ya mwanadamu ni sumaku na hivyo ni kweli mwanadamu anao uwezo wa kukiita kifo na kikamjia; ila kinacho weza kucheleweza masaa kadhaa ndani ya uwezo wake ni namna gani kifo hicho kitatokea. Sumaku yake inapokivuta kifo nguvu za asili zinayachanganya mazingira yote yanayowezekana na kukusanya kimbunga za maguvu yatakayokifanya kifo kitokee kwa jinsi yake. Tembelea www.quasserer.com
Haya sio ya leo bali tangu karne ya 5 mpaka karne hii ya 21 yanatukia katika maisha ya mwanadamu.
Jamii za kiafrika na Asia ndizo huitumia sana dhana hii.