Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yericko Nyerere, chama si binaadam, ikiwa mmeweza kuiua chadema kwa kuwaondoa binaadam makini kwenye chama usifikiri kuwa na binaadam ni vivyo hivyo.
Poleni sana naona mzimu wakujiua umewakaa.
Nimekwambia juu huko, jiue basi ili utuhakikishie kuwa kweli unaweza. Wacha blah blah blah.
God is a fastidious fad fueled by a fantastic foolhardy fading fast.
Mkuu Yericko,uhai wa huyu binadamu hapa duniani unategemeana na viumbe na mazingira yake.Tunaishi juu ya dunia.Tunakula vyakula toka kwenye mimea.Tunakunywa maji.Tunavuta hewa ambayo bila kuivuta hatuwezi kuishi.Tunaona na viumbe wengine wakiishi kwa sababu somewhere in history somebody created all this.Na hivi vyote binadamu hadi leo kashindwa kuviumba.Yeye pamoja na vyote vilivyoijaza dunia vimekaa kwa mpangilio fulani wa kisayansi na kutegemeana katika namna ambayo inadhihirisha scientifically chanzo cha maumbile haya ni superior kuliko any of the created being.Kushindwa kwetu kuelewa vizuri chanzo hiko haimaanishi kwamba hakipo.Hakuna namna ya kuondoa uwezekano wa chanzo hicho,tutazidi kuifanya equation iwe ngumu kuwa solved kabisa.Hakuna namna ya kuigeuza equation ukasema binadamu ambaye ni sehemu ya maumbile,ndiye ameumba,unaongeza maswali zaidi yenye logic isiyoendana na uhalisia wa sayansi ya uumbaji.Frustrations za binadamu kushindwa kulijibu swali la "Mungu ni nani na yukoje" lisitufanye kujiongezea matatizo zaidi kwa kusema "There is no God".Hiyo itakuwa ni negligence ya hali ya juu kwa sayansi ambayo tayari inamanifest something extraodinary beyond our limit.What is beyond that limit?Kujibu swali hili inahitaji sisi wenyewe kwenda nje ya limit kitu ambacho tunaona hakiwezekani.Lakini mie nauliza,nani ajuaye,huenda tunao uwezo wa kupush beyond limit isipokuwa tu we are not in a required path,who knows?ni lazima tuhangaike kujua kile ambacho uumbaji unatuambia.Niitazamapo dunia na yaliyomo,naona kama a certain silent music wenye mpangilio fulani ambao tunahitaji speaker zenye teknolojia ya kutufanya tusikie kila ala inayopigwa ili tujue ni muziki wa aina gani na muziki huu wa kisayansi unamwelezea anayeupiga.Kwa jinsi dunia ilivyoumbwa na viumbe wake,kusema kwamba hakuna Mungu au mungu ni mmojawapo wa viumbe waliomo duniani,ni uvivu wa kutokutaka kuipita njia ngumu ya kugundua mambo makubwa na mazito beyond us.You can see it even in classes,ni rahisi kumshawishi mwanafunzi akae anapiga story tuu kuliko mfululizo wa vipindi vya kujifunza especially masomo magumu.You remind me of my days in school,somo la physics na Mathematics watu walikuwa wakijaa darasani na hata hawasinzii,when it came to a certain very complex subject known as basic electricity,watu walikuwa wanajaa kwa sababu mwalimu alikuwa mzuri na mwenye vituko vya kuchangamsha watu lakini alikuwa akimaliza vituko vyake na kuanza kushusha nondo,pamoja na ufundishaji mzuri wa kueleweka tofauti na wale wa physics and Maths bado watu walisinzia,wachache tusiolala tulimsikiliza na kumwelewa vizuri tu.Ni mfano nimetoa wa kile kinachoendelea katika struggle ya binadamu kujielewa mwenyewe na aliyemuumba.Kuna facts nyingi sana zinazotusuta kukataa uwepo wa Mungu lakini tunahitaji kutuliza akili na kuwa na mental discipline fulani ili kusoma na kupata ufahamu huo kwani si jambo la mazungumzo ya walevi bar!Kilichotuumba hakiko kama sisi,ni superior zaidi,hivyo kujifunza kukijua inahitaji muda na dedication na maarifa makubwa!Na hatuwezi kukijua kama wenyewe hatujijui 100%.Mkuu Yericko nikuulize swali bwana,vipi,nikichukua kisu na kukuchinja shingo yako unaweza kukataa kufa ukabaki unaishi bila shingo?au ukameditate na kuiunga shingo yako uendelee kuishi?we si muumbaji bwana!kama unaweza please niPM nakuja sasa hivi hapo,just make sure unanielekeza vizuri ulipo,usije ukanidanganya na kupata kisingizio eti nimechelewa ha ha haa!
Siku zote mada za huyu yeriko hua ngumu sana sijui nyinyi hua mnamuelewaje? mi sielewi chochote alichoandika mwanzo mwisho
zito ni jembe. chadema bila zito inayumba sana, chadema bila zito ni sawa na gari bila injini. chadema imejengwa kwa misingi ya udini, ukabila ,na ukanda. chadema ina laana ya watanzania...
Umenifanya nicheke saaaaaaaaaaaaaana,duuh JF ni zaidi ya pain killer. sasa mkuu huu uzi na cdm ni wapi na wapi??
mwenyezi Mungu akusamehe.
God is a fastidious fad fueled by a fantastic foolhardy fading fast.
Unatamani sana uabudiwe kwa kuwa na uwezo mkubwa wa kukariri,ni Bahati mbaya kwako Haya hayawani hawawezi kukuabudu, una chuki na Mungu muumba, endelea kukariri iko siku utagundua kwamba Hata wewe umeumba "hakuna mungu"
Unatamani sana uabudiwe kwa kuwa na uwezo mkubwa wa kukariri,ni Bahati mbaya kwako Haya hayawani hawawezi kukuabudu, una chuki na Mungu muumba, endelea kukariri iko siku utagundua kwamba Hata wewe umeumba "hakuna mungu"
Thibitisha kwamba mungu yupo.
Until you do so, I have no reason to further engage you.
Nimekutumia uthibitisho umeuona