Temperature equivalent
Member
- Sep 9, 2024
- 11
- 10
We jamaa nimecheka sanaπWatu wanajua ukifa ndio basi kumbe ndio safari inazidi kukolea π huko mbele kama ni utamu wa mbousousou basi ndio umekolezwa mara mbili π₯
Unaweza kuthibitisha huyo Mungu yupo?Hivi binadamu hatuwezi kuungana kumuomba kwa dhati Mungu afute kifo, magonjwa na mauti au ndio tutakua tunaingilia mapenzi yake?
Au umoja wa aina hii na maombi ya aina hii ndio kutungeneza mnara wa Babeli? Tutatwanywa kwa kuvurugwa na lugha gongana?
Hakuna Mungu aliyeumba chochote kile.Mwingine mfuasi wa akina Mwamposa baada yakukesha anapiga kelele atimaye kaja na kufuru kwamba Mungu hayupo!!kweli!! Sijui kajiumba na kujipa pumzi??
Madai ya uwepo wa Mungu yametoka kwenu nyie waamini huyo Mungu.Leta evidence kwamba Mungu hayupo
Hakuna Shetani wala Mungu.Mumuombe kupitia kwa hawa akina Mwamposa,Kakobe na TB Josua???aisee ukweli Dunia imechafukwa watu wanamfata sheta sasa hivi kuliko Mungu wao
Nafikiria kolabo la Netanyahu na ayattolah khamenei wakiwa wanaangusha maombi kwa mwenyezi awaondolee kifo!Hivi binadamu hatuwezi kuungana kumuomba kwa dhati Mungu afute kifo, magonjwa na mauti au ndio tutakua tunaingilia mapenzi yake?
Au umoja wa aina hii na maombi ya aina hii ndio kutungeneza mnara wa Babeli? Tutatwanywa kwa kuvurugwa na lugha gongana?
Binadamu mwili wake unaundwa na vitu ambavyo ni genetic material zenye uwezo wa kuoza na kuharibika kuelekea kifo na mauti. Hivyo ni asili ya mwili kuoza na kuharibika.Hivi binadamu hatuwezi kuungana kumuomba kwa dhati Mungu afute kifo, magonjwa na mauti au ndio tutakua tunaingilia mapenzi yake?
Au umoja wa aina hii na maombi ya aina hii ndio kutungeneza mnara wa Babeli? Tutatwanywa kwa kuvurugwa na lugha gongana?
Pia mwenyezi Mungu anaweza kuingilia Katie akakukinga na kifo na mauti kwa muda fulani, lakini baadae kanuni ya kifo na mauti aliyoitengeza itaendelea tu kufanya kazi.Binadamu mwili wake unaundwa na vitu ambavyo ni genetic material zenye uwezo wa kuoza na kuharibika kuelekea kifo na mauti. Hivyo ni asili ya mwili kuoza na kuharibika.
We ulitokea wapi na wewe ni Nani mpaka ujitambue hivyo na uwe n ufahamu wa kumpinga Mungu yaani wewe ni Nani na kwanini uwe wewe??Hakuna Shetani wala Mungu.
Mungu na Shetani ni viumbe vya kufikirika, mlivyo vitunga tu.
Imaginations just an illusion.
Basi sawa kila mtu na aka amin kitu chakeHakuna Mungu aliyeumba chochote kile.
Hakuna Mungu anayetoa pumzi kwa kiumbe chochote kile.
Huyo Mungu mmemtunga vichwani mwenu ndio maana hamuwezi kuthibitisha uwepo wake.
Huyo Mungu kama yupo ajiongelee mwenyewe, ajidhihirishe na kujitetea mwenyewe kama ana huo uwezo.
Mnahangaika sana kumwelezea na kumuongelea Mungu ambaye hajawahi kuwepo na hayupo kujiongelea mwenyewe, kujitetea mwenyewe na kujidhihirisha mwenyewe kwamba yupo.
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.
Nilitoka kwa wazazi wangu, Baba na Mama yangu.We ulitokea wapi
Mimi ni mimi.na wewe ni Nani mpaka ujitambue hivyo na uwe n ufahamu wa kumpinga Mungu yaani wewe ni Nani na kwanini uwe wewe??
Mimi siamini kwenye kuamini.Basi sawa kila mtu na aka amin kitu chake
Kwamba Mungu ajitokeze mwenyewe!??? basi mdugu yangu wewe ni weweNilitoka kwa wazazi wangu, Baba na Mama yangu.
Mimi ni mimi.
Na ni mimi kwa sababu ni mimi.
Mungu mmemtunga vichwani mwenu ndio maana huwezi kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu unayesema yupo.
Huyo Mungu kama yupo ajitokeze mwenyewe, ajiongelee mwenyewe, ajidhihirishe mwenyewe na kujitetea mwenyewe. Kama ana huo uwezo.
Kufa sasa hivi uende kwa huyo kristo wako wa faida.Wafilipi 1:21 Kwa maana kwangu mimi kuishi ni Kristo, na kufa ni faida.
Mimi ni mimi.Kwamba Mungu ajitokeze mwenyewe!??? basi mdugu yangu wewe ni wewe
Ili iweje? Uliwahi kujiuliza hii dunia ungekua vipi kama baadhi ya watu wasingekufa? Pia una eneo la kuwaweka watu wote hao?Hivi binadamu hatuwezi kuungana kumuomba kwa dhati Mungu afute kifo, magonjwa na mauti au ndio tutakua tunaingilia mapenzi yake?
Au umoja wa aina hii na maombi ya aina hii ndio kutungeneza mnara wa Babeli? Tutatwanywa kwa kuvurugwa na lugha gongana?
Sibishanagi na wajinga kwenye masuala ya dini mpendwa tafuta wapenda ligi.Kufa sasa hivi uende kwa huyo kristo wako wa faida.
Kama kufa ni faida, Kwa nini kila siku unasali kumuomba huyo Mungu akupe maisha marefu duniani?
Kama kufa ni faida, Why are you thanking God for another day on Earth?