Binadamu hatuwezi kuungana kumuomba kwa dhati Mungu afute kifo, magonjwa na mauti au ndio tutakua tunaingilia mapenzi yake?

Mwingine mfuasi wa akina Mwamposa baada yakukesha anapiga kelele atimaye kaja na kufuru kwamba Mungu hayupo!!kweli!! Sijui kajiumba na kujipa pumzi??
Hakuna Mungu aliyeumba chochote kile.

Hakuna Mungu anayetoa pumzi kwa kiumbe chochote kile.

Huyo Mungu mmemtunga vichwani mwenu ndio maana hamuwezi kuthibitisha uwepo wake.

Huyo Mungu kama yupo ajiongelee mwenyewe, ajidhihirishe na kujitetea mwenyewe kama ana huo uwezo.

Mnahangaika sana kumwelezea na kumuongelea Mungu ambaye hajawahi kuwepo na hayupo kujiongelea mwenyewe, kujitetea mwenyewe na kujidhihirisha mwenyewe kwamba yupo.

Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.
 
Leta evidence kwamba Mungu hayupo
Madai ya uwepo wa Mungu yametoka kwenu nyie waamini huyo Mungu.

Na sisi tunapinga hayo madai yenu ya kusema Mungu yupo.

Hivyo nyie "Waamini Mungu" ndio mnapaswa kuthibitisha madai yenu ya uwepo wa huyo Mungu mnayedai yupo.

Ukishindwa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu unayedai yupo, Ni kwamba madai yako ya kusema "Kuna Mungu" ni madai ya UONGO.

Na huyo Mungu unayedai yupo, Hayupo.
 
".....na hamtomuona mola wenu mpaka mfikwe na umauti.."hadith

Binafsi natamani kumuona aliyenichagua kuwa hivi nilivyo, aliyenichagulia familia yangu, ukoo wangu na mazuri mengi nisiyoweza kuyahesabu, natamani na nina shauku kubwa sana kukutana nae na hilo haliwezi kutokea mpaka nife, siku ikifika namuomba anipe mwisho uliokuwa mwema.

Mejasoko
 
Hivi binadamu hatuwezi kuungana kumuomba kwa dhati Mungu afute kifo, magonjwa na mauti au ndio tutakua tunaingilia mapenzi yake?

Au umoja wa aina hii na maombi ya aina hii ndio kutungeneza mnara wa Babeli? Tutatwanywa kwa kuvurugwa na lugha gongana?
Nafikiria kolabo la Netanyahu na ayattolah khamenei wakiwa wanaangusha maombi kwa mwenyezi awaondolee kifo!
Sijui itakuwaje.
 
Hivi binadamu hatuwezi kuungana kumuomba kwa dhati Mungu afute kifo, magonjwa na mauti au ndio tutakua tunaingilia mapenzi yake?

Au umoja wa aina hii na maombi ya aina hii ndio kutungeneza mnara wa Babeli? Tutatwanywa kwa kuvurugwa na lugha gongana?
Binadamu mwili wake unaundwa na vitu ambavyo ni genetic material zenye uwezo wa kuoza na kuharibika kuelekea kifo na mauti. Hivyo ni asili ya mwili kuoza na kuharibika.
 
Pia mwenyezi Mungu anaweza kuingilia Katie akakukinga na kifo na mauti kwa muda fulani, lakini baadae kanuni ya kifo na mauti aliyoitengeza itaendelea tu kufanya kazi.
 
Hakuna Mungu aliyeumba chochote kile.

Hakuna Mungu anayetoa pumzi kwa kiumbe chochote kile.

Huyo Mungu mmemtunga vichwani mwenu ndio maana hamuwezi kuthibitisha uwepo wake.

Huyo Mungu kama yupo ajiongelee mwenyewe, ajidhihirishe na kujitetea mwenyewe kama ana huo uwezo.

Mnahangaika sana kumwelezea na kumuongelea Mungu ambaye hajawahi kuwepo na hayupo kujiongelea mwenyewe, kujitetea mwenyewe na kujidhihirisha mwenyewe kwamba yupo.

Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.
Basi sawa kila mtu na aka amin kitu chake
 
We ulitokea wapi
Nilitoka kwa wazazi wangu, Baba na Mama yangu.
na wewe ni Nani mpaka ujitambue hivyo na uwe n ufahamu wa kumpinga Mungu yaani wewe ni Nani na kwanini uwe wewe??
Mimi ni mimi.

Na ni mimi kwa sababu ni mimi.

Mungu mmemtunga vichwani mwenu ndio maana huwezi kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu unayesema yupo.

Huyo Mungu kama yupo ajitokeze mwenyewe, ajiongelee mwenyewe, ajidhihirishe mwenyewe na kujitetea mwenyewe. Kama ana huo uwezo.
 
Nilitoka kwa wazazi wangu, Baba na Mama yangu.

Mimi ni mimi.

Na ni mimi kwa sababu ni mimi.

Mungu mmemtunga vichwani mwenu ndio maana huwezi kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu unayesema yupo.

Huyo Mungu kama yupo ajitokeze mwenyewe, ajiongelee mwenyewe, ajidhihirishe mwenyewe na kujitetea mwenyewe. Kama ana huo uwezo.
Kwamba Mungu ajitokeze mwenyewe!??? basi mdugu yangu wewe ni wewe
 
Hivi binadamu hatuwezi kuungana kumuomba kwa dhati Mungu afute kifo, magonjwa na mauti au ndio tutakua tunaingilia mapenzi yake?

Au umoja wa aina hii na maombi ya aina hii ndio kutungeneza mnara wa Babeli? Tutatwanywa kwa kuvurugwa na lugha gongana?
Ili iweje? Uliwahi kujiuliza hii dunia ungekua vipi kama baadhi ya watu wasingekufa? Pia una eneo la kuwaweka watu wote hao?
 
Kufa sasa hivi uende kwa huyo kristo wako wa faida.

Kama kufa ni faida, Kwa nini kila siku unasali kumuomba huyo Mungu akupe maisha marefu duniani?

Kama kufa ni faida, Why are you thanking God for another day on Earth?
Sibishanagi na wajinga kwenye masuala ya dini mpendwa tafuta wapenda ligi.
Kila mtu anajua anachokiamini na kukiabudu.
 
Back
Top Bottom